mukama talemwa
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 160
- 29
Hapa naona magari mengine mawili kwenye parking............
![]()
Kwani hii picha ya lini mkuu?ninadhani hiipicha ni long time
Hapa naona magari mengine mawili kwenye parking............
![]()
Kweli, hizi ni kamba za wazi. Tizama nyuma ya Nissan utaona mkoko wa nguvu umepaki gereji...pale jirani na kitu chekundu kama nguo iliyoanikwa kwenye kamba.
Mkuu Wisdom, Kiganyi aliweka bayana kabisa source yake.Uwe unaweka source watu wanafikiri ni picha zako kumbe umezitoa hapa Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo Utashitakiwa kwa wizi wa kazi za watu!
Hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.
Du, jamaa mtunzaji! Hiki kigari bado anacho tu! Nakumbuka alikinunua mwaka 1998 aliporudi toka masomoni Uholanzi wakati huo akiwa Lecturer pale Mzumbe. Alikuwa anatukongaje nacho? Mara anakuja kusimamia test pale NAH (Wembley) akiwa ameshika redbull mkononi anakunywa tartiiiiib, 'afu saa hizo hatuna boom. Jamaa ni bishoo sio pole pole, labda awe amekua akaacha siku hizi.
Kwani hii picha ya lini mkuu?ninadhani hiipicha ni long time
Dr Kamala mbona umepiga picha kwa nje kama kweli huwa unaendesha hiyo Nissan ingia ndani ya gari usiishie kufungua mlango.
Hizo propaganda za miaka ya 47.
Kamala anaishi mbezi beach, maeneo ya makonde upande wa baharini, tena kwenye ghorofa kubwa tu.
Kamala ana magari mengi sana, juzi juzi (baada ya kuteulewa ubalozi), alikuwa anauza Nissan yake, in short alikuwa anapunguza idadi ya magari, kwani hatakuwa anayatumia, muda mwingi atakua ulaya.
Kamala hajawahi kuwa na magari mengi kama unavyodai, ana magari mawili hiyo nissan na Terrano nayo ni imechoka aliinunua mwaka 2000 alipachaguliwa kuwa mbunge kwa mara ya kwanza.
Kamala ni kiongozi makini asiye na tamaa ya mali, amejipambanua na viongozi vijana wenzake ambao wao kujilimbikzia mali wanaon ni sehemu ya maisha. Kumbuka alivyosimamia suala la ardhi akiwa waziri wa afrika mashariki, kama angekuwa na tamaa basi angekuwa na fleet ya magari kama walivyo vongozi wenzie wa sasa.
Mtu mzima unaomba kupiga picha kwenye nyumba ya mtu mwingine kwa ajili ya kujiuza!!!!!!! Duuuu, kwa kweli nchi hii imejaliwa wasanii.
Kwahiyo hata viatu kauza? si umeona viatu vyake choka mbaya?