Poleni kwani si kazi ya kansela hiyo jamn mbona mnamlaumu balozi??
Kaandika ubalozi na si balozi.
Umeidaka nilikuwa nafanyia marekebisho duh:mmph::mmph::mmph:
kwani viongozi wetu huwa wana tabia ya kusimama wakati wanahitajika? zao ni kama kuna sherehe, kufungua matawi na harusi za mafisadi. subiri binti akiolewa huko, hata kama ni kaolewa au kaoa mtoto wa chistoper dudus uone atakavyojibaraguza
dada yetu kakatwa na mapanga
ni kweli kabisa mkuuAhsante sana Mkuu ulichoandika ni kweli tupu na ndicho kinachofanyika katika balozi zetu nyingi.
ni kweli kabisa mkuu
we subiri au jaribu kwenda kwa balozi au ofisi za balozi wakati wa sherehe uone jinsi jamaa wanavyochangamka... halafu wapelekee tatizo uone watakavyoingia mitini
In 2000 nilipiga simu kwa ofisa wetu wa ubalozi london kuomba tu kwenda kusalimia hapo ubalozini.... jamaa alinikwepa for 6 months; baada ya kurudi bongo, ndio ananikaribisha tupate drinks... i told him on his face kwamba sikupedna tabia yake
In 2000 nilipiga simu kwa ofisa wetu wa ubalozi london kuomba tu kwenda kusalimia hapo ubalozini.... jamaa alinikwepa for 6 months;
sorry sister its not like that... sometimes inategemea na nini unaenda kufanya na pia nilikua nasomea nini!!! sometime kuna basic info hasa kama unafanya thesis you may need to search kwenye balozi hasa enzi hizo mitandao haikua kama sasaRidiculous thread'ers, kusalimu ofisini? Kuleta ubongo ubongo ule uleeee, no wonder ulipigwa materehe...
Jamani je ni lini tutasikiwa ubalozi wa TZ unatoa masikitiko kwenye magazeti kama dada yetu kakatwa na mapanga na ubalozi unanyamaza kama hakuna lolote lililo tokea.
Je ubalozi una kazi gani kama hautajali Watanzania, hata pole tu hatujaisikia!. Tunajua hakuna pesa lakini pesa siyo kila kitu Ubalozi unatakiwa kuonyesha upendo kwa wananchi wake na kufatilia upelelezi wa hizi kesi kuhakikisha kwamba zinafuatiliwa.
Na siyo ufuatiliaji tu ubalozi unatakiwa kuwasiliana na Wananchi wa kitanzania hapa kuwaeleza uchunguzi wa polisi umefikia wapi. Ubalozi wetu umekuwa haujiusishi kwa kisingizio cha pesa, lakini pesa siyo tatizo hapa watu hawajaomba pesa ubalozini bali upendo tu ambao umekuwa mgumu sana kutoka ubalozi wetu wa DC.
pia nilikua nasomea nini!!! sometime kuna basic info hasa kama unafanya thesis ...
"Close to my family" mbona alikupiga chini ulipotaka kuleta uswahili ofisini? Get a clue, hataki undugu kazini, in fact si ajabu hataki undugu period, umemganda kama tattoo unaendeleza uswahili wa kujuana ofisini...change, you been in the developed world, learned anything? Eti kama niko hapa ningejua ubalozini kuna ndugu zako, who gives a rat's behind?PIa mpaka mtu aje badae akutafute ujue tulikua tunajuana fika na kwa miaka kadhaa......is a person close to my family na mbaya zaidi kabla ya kwenda huko alikua very close...
Na wewe ungekuwa na common sense ungejua nilikuwa na ridicule the whole topic ambayo haielezi dada yenu kapigwa mapanga wapi, ni nani, lini? You wanna raise awareness about a tragedy give details, dunceheadBTW, you just need to have a little common sense .. mtu angeuliwa tarime tungeomba balozi itoe tamko??
Jamani je ni lini tutasikiwa ubalozi wa TZ unatoa masikitiko kwenye magazeti kama dada yetu kakatwa na mapanga na ubalozi unanyamaza kama hakuna lolote lililo tokea.
Je ubalozi una kazi gani kama hautajali Watanzania, hata pole tu hatujaisikia!. Tunajua hakuna pesa lakini pesa siyo kila kitu Ubalozi unatakiwa kuonyesha upendo kwa wananchi wake na kufatilia upelelezi wa hizi kesi kuhakikisha kwamba zinafuatiliwa.
Na siyo ufuatiliaji tu ubalozi unatakiwa kuwasiliana na Wananchi wa kitanzania hapa kuwaeleza uchunguzi wa polisi umefikia wapi. Ubalozi wetu umekuwa haujiusishi kwa kisingizio cha pesa, lakini pesa siyo tatizo hapa watu hawajaomba pesa ubalozini bali upendo tu ambao umekuwa mgumu sana kutoka ubalozi wetu wa DC.
...kwa nini wasikubali fingerprints zilizokuwa notarized na licensed lawyer. Ni mzigo sana kuchukua familia ya watu sita kutoka umbali kama Alsaka kwenda DC kwa ajili ya kuchukuliwa finger prints tu!!
Licensed lawyer wa huko Alaska sisi Tanzania hatumtambui. Ndio maana walipokuja kubadili passport wakati ule walikuja na ma lawyer wa Bongo. Ni mzigo kwa familia yako, sawa, lakini ukitaka kutuma fingerprints lets say Homeland Security utawatumia ma kopi yenye mihuri ya notary public au uta show up with your family?
Inaelekea ndugu yangu wewe unatoka ubalozini, lakini unafanya makosa kutoa majibu ya jumla jumla bila kuunganisha facts zote sawasawa.
Fingerprints za Homeland Security ni electronic kwa hiyo inabidi mtu aende palipo na hiyo system; na hiyo requirements ya electronic fingeprints ni kwa watu wasiokuwa raia wa marekani tu. Ukiwa ni citizen na ukahitaji passport, USCIS wanatambua mawakala wengi sana kukusanya data za passport kwa mfano ofisi zote za posta na ofisi mbalimbali za licensed lawyers pamoja na ofisi mbalimbali za federal governement ambazo zimezagaa nchi nzima; hawawezi kuwasumbua raia wake kwa mambo ya kipuuzi namna hiyo.
Fingeprints zinazofanyika kwenye ubalozi wa Tanzania ni za wino, ambazo zinaweza kuchukuliwa sehemu yoyote ya nchi. Ubalozi unaponitaka niache kazi nisafiri umbali wote huo pamoja na familia yote kwa gharama hizo ni usumbufu usiokuwa na maana kwa raia; ndiyo maana nikasema sijaona ubalozi usiokuwa na mapendo kwa raia wake kama wa Tanzania.
Watanzania wanasafiri kutoka vijijini mwisho wa nchi wanakwenda Dar kushughulikia uhamiaji, na nyinyi wa nje tumewasogezea huduma hiyo DC, nyinyi sio privileged group, fuateni taratibu za kila Mtanzania.
Na hao ma licensed lawyers wa Marekani sisi Tanzania hatuwatambui, sisi ni sovereign state.
Lol....Taso ana hoja
Typical Tanzanian/African minds.........kwi kwi kwi kwi..........naona unadumisha zile deas za...............MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO............mawazo mgando...........kwi kwi kwi.............