Balozi wa Tanzania nchini malawi akana kufukuzwa!!!

Gwaks makono

Senior Member
Aug 27, 2011
110
16
Balozi wa Tanzania amekana taarifa zilizosambaa kwamba kapewa masaa 48 kwamba anatakiwa aondoke nchini kwao kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu Balozi PATRICK TSERE amekanusha uvumi huo.
 
balozi wa tanzania amekana taarifa zilizosambaa kwamba kapewa masaa 48 kwamba anatakiwa aondoke nchini kwao kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu balozi patrick tsere amekanusha uvumi huo.

watanzania bwana kwa kuzusha, hawajambo!!!!!1 cjui waliyapata wapi. Watakuwa waislamu hawa make wao hata wakisikia mlio wa punda wanahisi anapigwa.
 
Sisi baadhi ya wakristo huwa tunapenda chokochoko sasa swala la kufukuzwa balozi na ku-mention dini ya wengine vinaingiliana vipi ? TATIZO LAKO WEWE USITUCHAFUE WOTE
 
ila napenda wanazushaga mambo yanayokaribia kuwa kweli
 
Back
Top Bottom