Balozi Seif Iddi: Umwinyi au Uswahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Seif Iddi: Umwinyi au Uswahili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkulima wa kisasa, Jan 19, 2012.

 1. m

  mkulima wa kisasa Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa hivi shughuli zake hasa ni nini?

  tazama ufisini kwake.

  Makubazi na staff wanakaa chini utafkiri wako madrassa

  au ndio kalcha za ofisi huko Unguja?

  [​IMG]
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hapo si ofisini ni nyumbani.
   
 3. m

  mkulima wa kisasa Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bas jamaa kwenye blogs wameripoti kuwa ni ofisini kwake nikashangaa
   
 4. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani yeye mwenyewe huyu anapunga mapepo? Mkao uliopo hapo ni kama kwa masangoma wa kinaijeria, wageni kwenye viti lkn 'babaa' mwenyewe anakaa kwenye mkeka karibu na tunguli zake
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Huyu ndie yule yule Mpemba kwako wewe ni X#&^*) kama ulivyosema kule ulikokimbia, hivyo hana jema kwako.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,373
  Likes Received: 19,613
  Trophy Points: 280
  jamani mshaambiwa kuwa ni home kwake
   
 7. WILLY GAMBA

  WILLY GAMBA JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wewe hapo ni nyumbani, mazingira yanaonyesha mzee alikuwa ame pumzika, pia amewapa kinywaji bila bilauri halafu alikuwa amechoka na kazi nzito za kusukuma kurudumu( angalia mkono wake)
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Ninapenda hivyo ... tuliishi Egypt wakati wa Utoto wetu tuliporudi Bongo -- Sebule yetu pia ilikuwa na Mkeka na Mito ya kukalia chini

  Ilikuwa ni vizuri haswa... another tradition... so kuiga sio kubaya...

  * Hata kama ni ofisini kama pako kwa mpango kama hiyo picha kwangu mimi sioni vibaya --- it is a traditional

  * Ameishi nje ya Nchi Muda Mrefu na sasa anaona ni bora kuweka Ustaarabu wake sebuleni.... BRAVO!!!
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Balozi Seif Idd ni nani katika nchi hii???
   
 10. k

  kicha JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 506
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 180
  huyu jamaa mbona siku za hivi karibuni watu wamesmhika sana kuleta uzi kuh yeye? na wala sioni cha msingi ambacho cha kumjadili, au kuna mtu ana bifu nae na kutumia hii jf kutoa dukuduku lake? kama hana hatia jamani naona aachiwe tu ili tujadili vitu vya maana zaidi.
   
 11. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Anatumia simu ya mchina?
   
 12. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  sio nyumbani ni msikitini
   
 13. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  nilitaka kushangaa,..ofisini luninga na mziki mkubwa wa nini?
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sasa kama hapo ni maskani, wanafanya nini?
   
 15. D

  Do santos JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hiyo avatar yako na maneno usemayo sawa sawa jamaa mdini sana huyo
   
 16. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2014
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kumbe!
   
Loading...