Balozi Radhia Msuya: Balozi Wetu Mpya South Africa!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Rais amemteua Balozi Radhia Msuya, kuwa balozi wetu mpya South Africa na pia amemhamishia DC Washington, Balozi Mwanaidi kutoka London na the dataz ni kwamba Balozi Sefue anahamishiwa kutoka DC kwenda UN, New York.

- According to the dataz juhudi zote za Balozi Mwanaidi kutaka kujitoa katika kazi ya Ubalozi na kurudi nyumbani kuendeleza shirika lake binafsi la sheria, REX ziligonga mwamba siku chache zilizopita, alipoaarifiwa kwamba Rais amekataa kuikubali barua yake ya siri iliyoomba hivyo.

Mabadiliko yanafanyika maramoja, mnasemaje wakuu?

Respect.

FMEs!
 
FMES, Balozi Sefue anaenda New York kwa maana ya Umoja wa Mataifa au kwa maana ya kuiwakilisha Tanzania kwenye East Coast?
 
Huyu Radhia inasemekana ni nduguye Asha-Rose si ndio na Mkulu anamhamishia Bondeni kutoka London!!!
 
- Rais amemteua Balozi Radhia Msuya, kuwa balozi wetu mpya South Africa na pia amemhamishia DC Washington, Balozi Mwanaidi kutoka London na the dataz ni kwamba Balozi Sefue anahamishiwa kutoka DC kwenda UN, New York.
Respect.

FMEs!
Mkuu FMEs or Anyone out there,
Hebu tuhabarisheni juu ya wasifu wa Balozi Radhia Msuya kama unafahamika.
 
- According to the dataz juhudi zote za Balozi Mwanaidi kutaka kujitoa katika kazi ya Ubalozi na kurudi nyumbani kuendeleza shirika lake binafsi la sheria, REX ziligonga mwamba siku chache zilizopita, alipoaarifiwa kwamba Rais amekataa kuikubali barua yake ya siri iliyoomba hivyo.

Mabadiliko yanafanyika maramoja, mnasemaje wakuu?

Respect.

FMEs!

Kwamba hakuna mtz mwingine wa kuweza kushika nafasi hiyo ilhali huyu mama ameona aachane na kazi hiyo ajishughulishe na biashara zake?
huyu jk, tabu sana. ikiwa hii ni kweli basi kelele zake za kutenganisha biashara na siasa asiendelee kuzitoa. maajar chose biashara, jk is forcing her to do both.
disgusting
 
Huyu Radhia inasemekana ni nduguye Asha-Rose si ndio na Mkulu anamhamishia Bondeni kutoka London!!!
Bules,
Radhia hayuko UK na badala yake yuko TZ. Alihamishwa UK miaka kama miwili iliyopita na kupewa cheo cha ubalozi lakini akaachwa pale foreign.

Ni kweli ni mdogo wake mama Migiro. Alipokuwa UK, alikuwa ndiye msaidizi mkuu wa mama Majaar.
 
Teuzi hizi zingepita angalau kwenye Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama. Hawa mabinti wa Mtengeti wanamkosha sana JK wetu.
 
FMES huyu mama alikuwa mstari wa mbele kwenye maswala ya matawi CCM vp akienda huko DC anaweza akawa tena mstari wa mbele kuanzisha haya matawi p'se dataz. Maana naona watu wa huko wanachachamaa kuwa matawi yake ya CCM ayaache huko huko London.
 
Nafikiri hili suala tulisha liweka hapa kitambo. Asante FMES kwa kuongeza data.
 
- Rais amemteua Balozi Radhia Msuya, kuwa balozi wetu mpya South Africa na pia amemhamishia DC Washington, Balozi Mwanaidi kutoka London na the dataz ni kwamba Balozi Sefue anahamishiwa kutoka DC kwenda UN, New York.

- According to the dataz juhudi zote za Balozi Mwanaidi kutaka kujitoa katika kazi ya Ubalozi na kurudi nyumbani kuendeleza shirika lake binafsi la sheria, REX ziligonga mwamba siku chache zilizopita, alipoaarifiwa kwamba Rais amekataa kuikubali barua yake ya siri iliyoomba hivyo.

Mabadiliko yanafanyika maramoja, mnasemaje wakuu?

Respect.

FMEs!

Mwanaidi Sinare Maajar​
Katika taarifa yake ya leo ya redio, TBC1 inatangaza kuwa Raisi Jakaya Mrisho Kikwete amemteua balozi Mwanaidi Sinare-Maajar kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Marekani kuchukua nafasi ya balozi Ombeni Sefue.

Balozi huyo anakuwa mwanamke wa kwanza wa Tanzania kushika nafasi hiyo ya ubalozi nchini Marekani. Kabla ya hapo, balozi Majaar alikuwa akishikilia wadhifa kama huo huko nchini Uingereza.

Taarifa hiyo pia inasema kuwa balozi mpya wa Tanzania nchini Afrika Kusini ni bi Radhia Mtengeti-Msuya na anaishika nafasi hiyo baada ya aliyekuwa balozi katika nafasi hiyo, Emanuel Mwambulukutu, kustaafu.

Taarifa kadiri ilivyosomwa unaweza kuisika kwa kubofya apo chini au kwenye ukurasa wa Audios kwenye pleya ya Taarifa ya Habari ya tarehe ya leo.

Source: Wavuti
 
-
- According to the dataz juhudi zote za Balozi Mwanaidi kutaka kujitoa katika kazi ya Ubalozi na kurudi nyumbani kuendeleza shirika lake binafsi la sheria, REX ziligonga mwamba siku chache zilizopita, alipoaarifiwa kwamba Rais amekataa kuikubali barua yake ya siri iliyoomba hivyo.

Mabadiliko yanafanyika maramoja, mnasemaje wakuu?

Respect.

FMEs!

Hivi inawezekana mtu akitaka kustaafu akataliwa.???? Sioni Logic hapa. Au ndio System inafanya kazi hivi?. Na kwa nini mtu aombe kustaafu asiandike barua ya kustaafu tu? Umri wa kustaafu balozi ni miaka mingapi?Mkuu JK alihaidi kufanyia kazi Ile issue ya mabalozi wa kudumu je tumefikia wapi? Je tanzania tuna maximum stay ya balozi kwenye kituo? ?Wenye taarifa na kuelewa mambo ya system naomba elimu .

Otherwise

Sina fact lakini hili lakini Kwamba balozi Mwanaidi aliomba kustaafu yet akahamishwa naona ni changa la macho la kumjengea mtu jina.
 
- Rais amemteua Balozi Radhia Msuya, kuwa balozi wetu mpya South Africa na pia amemhamishia DC Washington, Balozi Mwanaidi kutoka London na the dataz ni kwamba Balozi Sefue anahamishiwa kutoka DC kwenda UN, New York.

- According to the dataz juhudi zote za Balozi Mwanaidi kutaka kujitoa katika kazi ya Ubalozi na kurudi nyumbani kuendeleza shirika lake binafsi la sheria, REX ziligonga mwamba siku chache zilizopita, alipoaarifiwa kwamba Rais amekataa kuikubali barua yake ya siri iliyoomba hivyo.

Mabadiliko yanafanyika maramoja, mnasemaje wakuu?

Respect.

FMEs!

Mkuu kwa maoni yangu inategemea na sababu alizozitoa kwenye hiyo barua yake kwa Mkulu. Kama Mkulu alikataa hayo maombi kwa 'maslahi ya taifa' ni sawa, ila isije kuwa maombi yake yalikataliwa kwa maslahi ya chama... Vinginevyo, labda inawezekana kulikosekana mbadala. Ila ninaamini kwenye nafasi kama za ubalozi Mkulu anaweza kupanua wigo wa teuzi na akawapata wachapakazi wanaofaa tu.
 
All the best kwa kina dada / mama zetu...Ila mi nafikiri Tz itabidi tuanze na mpango kuwa hizi presidential appointee ziwe zinathibitishwa na Bunge kuzuia watu wa ovyo kuteuliwa...nothing to do with these two hawa ni wachapakazi na da Radhia ni career diplomat so they deserve it.
 
System hii iko Marekani!nchi zetu ni uchwala tu.Kamati zetu za bunge ni mediocre ,hazina nguvu ,ni luaji tu.angalia ufisadi uliopo,je Kamati ya Bunge ya Fedha inafanya nini?????Mkulo asingepata uwaziri kama tungekuwa na open system ya confirmation,Kamati hii ingemuhoji tamgu alipokuwa PPF na mizengwe mingi ya totos!

I am afraid hatuna demokrasi ,system hii ipo ni kulinda the few elites na watoto wao.
akina Mwinyi,Malecela,Msekwa wana watoto wao wako kwenye system ,sidhani wanaweza kuikana system hii ya ufisadi.
 
FMES huyu mama alikuwa mstari wa mbele kwenye maswala ya matawi CCM vp akienda huko DC anaweza akawa tena mstari wa mbele kuanzisha haya matawi p'se dataz. Maana naona watu wa huko wanachachamaa kuwa matawi yake ya CCM ayaache huko huko London.

...inawezekana ndiyo sababu ya kupelekwa huko....akaimarishe chama....
 
Radhia, Radhia, Radhia.. so finally you are rewarded for "job well done"? hongera. Tumetoka mbali kweli..
 
Back
Top Bottom