Balozi Radhia Msuya: Balozi Wetu Mpya South Africa!

Now Seriously: Lazima mtu ambaye anakabidhiwa dhamana ya kuongoza mission yetu nje awe na uwezo wa kuisimamia kweli.Nimeshauri tu ila ni muhimu

Hivi mbona wataalamu hamtoi darasa.
1.What is tanzania Mission/objectives in SA, USA, Japan, China and Kenya
2.What is the max stay of an ambassador in a station.
 
Una uhakika gani kwamba hakukuwa na ushindani, au ulitaka nafasi ya kazi ya Ubalozi nchi za nje itanganzwe kwenye daily news, the gurdian, raia mwema na rai?

Nakumbuka Mwantumu ilibidi ahame ofisi Asha alipoteuliwa kuwa waziri wa maendeleo ya jamii....

Lakini, inakuwaje kwenye couple kama hizi Mr and Mrs Museven wanafanya kazi pamoja, Mr and Mrs Malecela wako Ofisi moja, Mr and Mrs Sita. Au ndoa sio undugu?

Kwa zile nafasi za kugombea na kuchaguliwa kama Anne na Samwel hakuna tatizo, kila mtu alipata ushindi kwa wagombea wake. Kwa nafasi za kuteuliwa kama mhusika say one of the couple ndiye mwenye madaraka ya kuteua then sometimes inaleta conflict of interest, hivyo kama una busara ni kauachana na kumteua mke au mume kwa post zile ambazo zinaangukiwa mikononi mwako.

Kwa mfano Sitta na mama Sitta ni case tofauti pia. Sitta aligombea ubunge na akapata na akachaguliwa/si kuteuliwa kuwa Spika. Na mama Sitta aliteuliwa na Rais na si Sitta binafsi.

Kwa suala la Yoweri na Janeth ni kitendawili, tegaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
- Nimjuavyo kwa kifupi ni msomi wa Mlimani ni mchapa kazi sana, huko nyuma amefanya makosa mengi sana, lakini toka alipopelekwa London alijirekebisha na kuanza ku-behave kama inavyotakiwa, binafsi ninampa kudos kwa the transfomation,

- In life, kila bin-adam ana deserve a second chance in this case it worked perfectly, ninamtakia safari njema na kazi njema sana ya kulijenga taifa letu.

Respect.

FMEs!

Hebu weka wazi hapo pekundu na hasa neno sana. Isije kisha kula nyama ya mtu we ukadhani kajirudi. Si uliona akina Musabaha huko nyuma? tukadhani wamejirudi kumbe waaapi!
 
- Huu uteuzi ni sawa kabisa, tuwaache wakatufanyie kazi wote wawili ni wachapa kazi sana na wana uwezo pia, sometimes sio kila uteuzi lazima kuponde unless kuna mwenye sababu serious so far sijaiona, mengine ni kukubali yaishe, yakuanizhsa matawi ya CCM ni myth tu hizo sijasikia Balozi ameanzsiha matawi ya CCM unajua hili taifa tunahitaji kukomaa katika ku-analyze siasa zetu, mengine tunazidisha mno JF tunatakwia kuwa better than hizi blah! blah!

FMEs!
 
Hivi ni Balozi aliyeanzisha matawi ya CCM UK ama ni wanaCCM(ambao ni waTanzania) waliamua kuanzisha matawi yao na kumualika Balozi wao katika sherehe zao hizo za kichama??,binafsi sioni kama ni kosa kwa balozi kuhudhuria sherehe yoyote iliyoandaliwa na watanzania ambao ni wanaCCM

Ingekuwa kuna wanaCUF ama CHADEMA wameanzisha matawi yao na kumualika Balozi akagoma kuhudhuria katika shughuli zao sawa....So tusimlaumu huyu mama kuhusiana na uhudhuriaji wake kwenye shughuli alizoalikwa na wana CCM UK....Tunachotakiwa kufanya hapa ni kujadili hizi teuzi mbili za mabalozi........Pamoja
 
Kwa vile wewe hujaona basi wengine wote wafuate, la hasha...JF ni nyumba takatifu, haburuzwi mtu na maono ya yeyote. Kila mtu na uono wake. Tafadhali.

Acha kukufuru wewe,nani kakwambia JF ni nyumba takatifu????,ni utakatifu upi unaouzungumzia aisee.duh!!!!
 
Mkuu FMEs or Anyone out there,
Hebu tuhabarisheni juu ya wasifu wa Balozi Radhia Msuya kama unafahamika.

- Nimjuavyo kwa kifupi ni msomi wa Mlimani ni mchapa kazi sana, huko nyuma amefanya makosa mengi sana, lakini toka alipopelekwa London alijirekebisha na kuanza ku-behave kama inavyotakiwa, binafsi ninampa kudos kwa the transfomation,

- In life, kila bin-adam ana deserve a second chance in this case it worked perfectly, ninamtakia safari njema na kazi njema sana ya kulijenga taifa letu.

Respect.

FMEs!

Huyu mama ni mnyanyasi balaa. Na ana tabia ya kuwagawa wafanyakazi wake katika makundi. Uliza hao aliofanyanao kazi. Nafikiri hapo idarani alipotoka watafanya na sherehe. Nawahurumia huko anakokwenda.
 
Kwa vile wewe hujaona basi wengine wote wafuate, la hasha...JF ni nyumba takatifu, haburuzwi mtu na maono ya yeyote. Kila mtu na uono wake. Tafadhali.

- Hapana ni mawazo yangu na wewe una haki ya kuweka yako, sitegemei uwe na inferior kiasi cha kuamini nikisema mimi ndio amina, yaani mimi nikisema wewe unatetemeka na kufikiri ndio mwisho wa debate, sasa nitakusaidiaje Bwa! ha! ha! Hillarious!

Es!
 
Na wewe siku hizi unakufuru sana, yaani umekuwa bendera.

Bendera inakuja vipi hapa kiongozi...Wewe umesema JF ni nyumba takatifu,nimekuuliza ina utakatifu upi?,ni utakatifu upi unaouzungumzia hapa?

Ulichotakiwa ni kujibu hilo tu badala ya kuleta hizi ishu za bendera
 
Huyu mama ni mnyanyasi balaa. Na ana tabia ya kuwagawa wafanyakazi wake katika makundi. Uliza hao aliofanyanao kazi. Nafikiri hapo idarani alipotoka watafanya na sherehe. Nawahurumia huko anakokwenda.

- Hivi kweli mkuu kuna M-Tanzania au kiognozi asiye na haya matatizo? Kwani makundi ya ndani ya CCM na Chadema, licha ya Yanga na Simba yanachangiwa na nani mkuu si sisi wananchi na viongozi wetu, au?

Respect.

FMEs!
 
Bendera inakuja vipi hapa kiongozi...Wewe umesema JF ni nyumba takatifu,nimekuuliza ina utakatifu upi?,ni utakatifu upi unaouzungumzia hapa?

Ulichotakiwa ni kujibu hilo tu badala ya kuleta hizi ishu za bendera

Sio lazima nikwambie kwamba sikujibu. Zaidi ya hapo umeonyesha kuwa unajua kwa hakika kuna utakatifu wa aina nyingi ndio maana ukauliza utakatifu upi?

Napata uhalisia wa msemo bendera hupepea kufuata uelekeo wa upepo.

Think critically.
 
Asante mkuu wangu Great thinker ....Tuko pamoja
 
Huyu mama ni mnyanyasi balaa. Na ana tabia ya kuwagawa wafanyakazi wake katika makundi. Uliza hao aliofanyanao kazi. Nafikiri hapo idarani alipotoka watafanya na sherehe. Nawahurumia huko anakokwenda.

shauri lenu mtafungulia kisanduku cha pandora bure.. I REFUSE to open up my lips!!
 
- Rais amemteua Balozi Radhia Msuya, kuwa balozi wetu mpya South Africa na pia amemhamishia DC Washington, Balozi Mwanaidi kutoka London na the dataz ni kwamba Balozi Sefue anahamishiwa kutoka DC kwenda UN, New York.

- According to the dataz juhudi zote za Balozi Mwanaidi kutaka kujitoa katika kazi ya Ubalozi na kurudi nyumbani kuendeleza shirika lake binafsi la sheria, REX ziligonga mwamba siku chache zilizopita, alipoaarifiwa kwamba Rais amekataa kuikubali barua yake ya siri iliyoomba hivyo.

Mabadiliko yanafanyika maramoja, mnasemaje wakuu?

Respect.

FMEs!
He heeee
 
Back
Top Bottom