Hii nchi ni Mungu anajua ukiangalia none of the Western nations wame-condemn uchaguzi uliopita wa October lakini ikumbukwe Canada, the UK Australia and the US ndo wanamiliki all the exploration blocks hapa TZ na mikataba yoote mibovu imesainiwa nao...! na cha kushangaza Canada ilikuwa pamoja na Europian Election Observers japokuwa wao si toka Europe! Akili ku-mkichwani tutaishia DRCUchunguzi zaidi utaonyesha kwamba Maajar ni financial confidant wa JK -- anamtunzia hela zake kule majuu! Nyie subirini tu.
Nadhani hujasoma vizuriNimeingia kwenye website ya REX Attorneys na kuona kuwa Balozi Maajar bado ni partner wa hii firm.Hii ni AIBU kubwa kwa law proffesion ya TANZANIA.
Jamani hapa hamuoni conflict of Interests?Nchi nyingi zenye democracy kamili,ukichaguliwa kuwa na nafasi kama hiyo unabidi ukate ties.
Kuna thread hapa kuwa REX attorneys imelipwa whooping Ths 5 billion kuiwakilisha TANESCO against DOWANS!!!!Tukumbuke TANESCO ni chombo cha serikali.It means naye amepata share hii ya Tshs 5 billioni hela za wavuja jasho Tanzania.
Mimi sijui sheria,labda jamaa zetu mliosoma sheria,au mjumbe toka TANGANYIKA LAWLESS SOCIETY atuambie hii ni poa tu kuwa balozi mteule anayewakilisha nchi ya Tz huko USA ,also ni private employed na local firm.
Nimeingia kwenye website ya REX Attorneys na kuona kuwa Balozi Maajar bado ni partner wa hii firm.Hii ni AIBU kubwa kwa law proffesion ya TANZANIA.

May I inform my friend Belo that the information he has about ambassador Maajar is out of date; currently that mamakubwa is in USA in the same capacity, but since USA is not a commonwealth country is styled an ambassedor and not high commissioner. As regards the reputation of her law firm, it's one of the biggest beneficiaries of the high state corruption involving questionable contacts during the third phase government. As you may probably know Mrs Mkapa's father and her own father are brothers.
Hii nchi ni Mungu anajua ukiangalia none of the Western nations wame-condemn uchaguzi uliopita wa October lakini ikumbukwe Canada, the UK Australia and the US ndo wanamiliki all the exploration blocks hapa TZ na mikataba yoote mibovu imesainiwa nao...! na cha kushangaza Canada ilikuwa pamoja na Europian Election Observers japokuwa wao si toka Europe! Akili ku-mkichwani tutaishia DRC
What has Majjar got to do with ICC judgment, could she influence their judgment.
Dowans was going to win the case anyway. You don't just cancel contracts. Udikteta uliisha enzi za kina Nyerere.
sijui lini utaacha pumba aisee... unasema what has the lawyer to with the case outcome?What has Majjar got to do with ICC judgment, could she influence their judgment.
Dowans was going to win the case anyway. You don't just cancel contracts. Udikteta uliisha enzi za kina Nyerere.
Nimeingia kwenye website ya REX Attorneys na kuona kuwa Balozi Maajar bado ni partner wa hii firm.Hii ni AIBU kubwa kwa law proffesion ya TANZANIA.
Jamani hapa hamuoni conflict of Interests?Nchi nyingi zenye democracy kamili,ukichaguliwa kuwa na nafasi kama hiyo unabidi ukate ties.
Kuna thread hapa kuwa REX attorneys imelipwa whooping Ths 5 billion kuiwakilisha TANESCO against DOWANS!!!!Tukumbuke TANESCO ni chombo cha serikali.It means naye amepata share hii ya Tshs 5 billioni hela za wavuja jasho Tanzania.
Mimi sijui sheria,labda jamaa zetu mliosoma sheria,au mjumbe toka TANGANYIKA LAWLESS SOCIETY atuambie hii ni poa tu kuwa balozi mteule anayewakilisha nchi ya Tz huko USA ,also ni private employed na local firm.
Mwl alisema yeye kwa Experience yake anaweza kujua yai bovu katikati ya mayai mengi.Sina imani na kikwete kabisa,he is a man behind all these,you've heard and seen nothing yet.
Rex ndio walioandaa na kushauri serikali khs sheria ya madini, wao ndio wakawa mawakili wa kampuni za madini, wakaja wakaishauri Benki moja kuwa Dowans ni kampuni inayoaminika wapewe mkopo kufanya kazi na Tanesco, wakaishauri Tanesco kuvunja mkataba na Dowans kwamba ni kampuni tata, na wao wakalipwa mapesa kwenda kuitetea Tanesco na kushindwa!!! Nchi nyingine Majaar angekamatwa lkn sisi anakula kuku majuu