dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,193
- 4,304
msema peke siku zote ni mshindi..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hapana tajir sema "nikaacha watu wote wakinishangaa katika jukwaa (JF)"😂😂😂
Wazazi wako hasa mama yako ni mpuuzi sana.😂
View attachment 3381652
Nilikuwa natafuta picha Google drive nikakutana na hii! ! Hili ni moja ya maballistic missiles yaliyonipiga. Lilileta maafa makubwa kisaikolojia.
Thankfully NO Bluetooth devices were connected! The damage was purely emotional and psychological.
1) Tangu mwanzo mama aliniambia unatoka na huyo unataka kuolewa na kitunguu? Utakuwa unalia kila siku! Chach playa! !
2) Alishatoa sababu kadhaa kwanini hawezi kunioa, in this order
a) Sijui nataka nini!
b) Mimi na wewe tuna maisha tofauti sana!
c) You don't want to sleep with me!
d) Tuna undugu!
e) You're not a Christian! (😂 ! kweli wakati ule I was not a beleiver)
f) Ya mwisho ndo hiyo nikakata mawasiliano.
3) Nilivyokuja kuona picha kaenda kutoa mahari nikaandika barua ku postpone chuo nikaenda mkoani. After two weeks I had gotten my senses back nikarudi chuo. Chuo chenyewe jengo moja na ofisi yake!
View attachment 3381654
4) Kila tukio lake nilikuwa naletewa taarifa + picha bila kuomba! !
5) Alimuomba mdogo wangu asimamie harusi yake! ! ! ! Nikawa namuaangalia tu na hekaheka za kwenda huko kufanya mazoezi ya kucheza anarudi na makorokoro anapewa huko.
View attachment 3381656
6) Wazazi wakanidanganya hawajachangia harusi na hawatoenda. Ni kweli hawakwenda lakini nilikuja kujua walimchangia. Guess you can lie so as not to hurt your loved ones sometimes.
6) Pamoja na kutokwenda kwenye harusi walikuwa wanaifuatilia kwenye simu kwa shauku huku wakinionyesha.
View attachment 3381657
7) Mkewe tunafanana majina. Mfano mimi ni Mary yeye Maria.
View attachment 3381658
8) Nyumbani huwa kuna shughuli za chach sometimes, baada ya kuoa alikuja na mkewe, aliingia hadi jikoni, right in my kitchen his wife got in!
View attachment 3381660
9) Aliniambia anataka watoto wengi so hatuendani. Ni kitu kinajulikana, anapenda watoto. Mpaka leo wana mmoja tu sijui wanakwama wapi. Hes about 45 now. NILETEEENI WATOTO !
View attachment 3381663
10) Mara ya mwisho nimeongea naye a few years ago alikuwa ananipongeza for finally becoming a Christian. Akasema I'm very happy Registered_jf dont stop okay?
Nilishamsahau, nikaenda kupigwa ballistic missile takatifu.
UJUMBE: Ukipigwa ballistic missile usihuzunike sana, usikate tamaa. They're not special! ! Kuna mengine makubwa zaidi yenye maafa zaidi kuliko hilo yanakuja! !
View attachment 3381664
DIJAY
View attachment 3381667
😂😂😂 Unaogopa atakuwa mpelelezi wa IDF🤣🤣🤣
Nimemchungulia kidogo!
Nimegundua ana msongo kama mimi, sema wasi wasi umenipata nilipoona kachangia nyuzi za Iran na Israel kitu ambacho sijawahi kufanya.
Yaah Si unajuwa tajiri natakiwa kuishi kwa tahadhari.😂😂😂 Unaogopa atakuwa mpelelezi wa IDF
😂😂😂😂😂Ushaambukizwa gonjwa la kuacha wenzio....type yako unaikimbia kisa mpelelez ila wakina marry unawang'ang'ania🤣😂🤣😂🤣Yaah Si unajuwa tajiri natakiwa kuishi kwa tahadhari.
Nimekumis member mwenzangu😎Swali la msingi sana
🤣🤣🤣 mishazi ya buza kama Marry haina baya, yenyewe ni ije geto na kijola upige shoo ya nguvu baass.. haina mambo mengi.😂😂😂😂😂Ushaambukizwa gonjwa la kuacha wenzio....type yako unaikimbia kisa mpelelez ila wakina marry unawang'ang'ania🤣😂🤣😂🤣
😂😂😂 Hutak usumbufu kwenye shughuli kama hizi🤣🤣🤣 mishazi ya buza kama Marry haina baya, yenyewe ni ije geto na kijola upige shoo ya nguvu baass.. haina mambo mengi.
Nipo hapa mkuu, kwenye ule uzi niliamua picha tu ndiyo ziongee sikufunguka sana, huu uandishi upo kitambo tu, mimi kama sijauona FB basi ni hapa jf ila ni muda mrefu.Huu uandishi wa uzi kwa mara kwanza nimeuona leo kwa Tajiri Sina BAYA ,nashangaa tena mwingine anakuja ki hiv ,are they the same person???
Anyways, nimeipenda hiyo BALLISTIC EX 😂😂😂😂😂
Kwakwel toka nijiunge hapa julwaan ndio leo nimeuona kwakoNipo hapa mkuu, kwenye ule uzi niliamua picha tu ndiyo ziongee sikufunguka sana, huu uandishi upo kitambo tu, mimi kama sijauona FB basi ni hapa jf ila ni muda mrefu.
👍Kwakwel toka nijiunge hapa julwaan ndio leo nimeuona kwako
Tajiri Sina BAYA akikosa na hapa ni bora afate ushauri wa min me akaoge maji ya maharage tu 😆😆
Tajir ameshaanza kumkataa mtoto ety ni mpelelezi wa IDF 🤣😂🤣😂🤣Tajiri Sina BAYA akikosa na hapa ni bora afate ushauri wa min me akaoge maji ya maharage tu 😆😆
Tulia mkuu tumejadili na Harmful tumejiridhusha huyu anaweza kuwa shushushu!Tajiri Sina BAYA akikosa na hapa ni bora afate ushauri wa min me akaoge maji ya maharage tu 😆😆