Kitu cha kwanza mimi huangalia dini ya mtoa hoja.
Kwa hii kesi ya TAL imewavua sana nguo machawa wa mboga mboga kuonyesha kuwa nyie ni bendera fuata upepo ni karibuni tu hapa mlikuwa tayari Lumumba mmelishana poroja kuwa TAL ni mhaini na lazima ANYONGWE ila sasa hivi baada ya hukumu mmeanza kutapatapa kama makahaba🚮balile yuko sahihi
Serikali yenu na nani acha usenge bwana mdogo! Alafu si tulikubaliana serikali yako sikivu lazima imnyonge TAL sasa mbona mmebadilisha tena mapambio mnafurahia tena hukumu ya Jana? Hii inaonyesha watawala wanawafaidi sana nyumbu kama weweSerekali yetu na vyombo vyake imetumia utu wa hali ya juu sana,ingelikuwa ni ""Pyongyang"" mpaka muda huu hatunaye!
Utaruka ruka tu,lakini ndiyo serekali yetu,sikuwahi kusema neno kunyonga kamwe,nilisisitiza kifungo cha miaka mitano,cha nje!,huku akizuiwa kufanya shughuli za kisiasa ndani ya kifungo.Serikali yenu na nani acha usenge bwana mdogo! Alafu si tulikubaliana serikali yako sikivu lazima imnyonge TAL sasa mbona mmebadilisha tena mapambio mnafurahia tena hukumu ya Jana? Hii inaonyesha watawala wanawafaidi sana nyumbu kama wewe
Na conclusion yako inakuwa nini?Kitu cha kwanza mimi huangalia dini ya mtoa hoja.