BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Je tangu lini kuoa kukawa kinga ya kupata mimba? Huo mfano ni batili. Mimba wanapata hata watoto wa miaka 9, je turuhusu waolewe? Je Ukiruhusu hao kuolewa kama kinga ya mimba asipopata mchumba je? Ina maana tumekata tamaa kuwalea watoto wetu tunakimbilia kuwaoza kama mvuvi anavyouza samaki kwa bei ya kutupa ikifika jioni.
Mkuu nadhani huja nielewa kabisa , mimi sijasema kuwa hii ni kinga ya mimba big no, ila nimesema kwa huo umri ikiwa kila hatua za uchunguzi zimezingatiwa basi msichana apewe baraka za kuozwa , kuozwa au kuolewa si kununua na hii dhana wengi wasio waislamu wanashindwa kujua lengo la ndoa , ikiwa mtoto hataki kubadilika , kuelewa , kusoma ni bora sna akapata ndoa , maana yake ata endelea na mambo ya hovyo hovyo huko mtaani na mwishowe anapata mimba
 
Kwa sheria ilivyo kuwa huko awali ni sawa

Pia kwa imani yao ni sawa,

Uzuri sheria imeweka wazi, kuwa mahakama ndio itaruhusu ndoa hiyo kufungwa, yani aliye chini ya miaka 18 mwisho 14, basi mahakama ndio itakayo toa ridhaa ya kuolewa binti huyo

Tuna weza kuweka tu kuwa mtoto ni mpaka umri wa miaka 25. Au mtoto mwisho miaka 14... walio weka haya waliangalia nini kuwa mtoto ni chini ya 18 miaka?

Waliangalia uwezo wa kufikiria? Shepu? Urefu? Unene?

Wapo watu wazima kwa kigezo cha umri lakini kwa kigezo cha kufikiri bado tatizo

Ukiangalia kwa kigezo cha kujitegemea basi watoto ni wengi sana huku majumbani kwetu
I second you
 
Matajiri wanaenda kuvioa vitoto vya maskini and not the other way round.
Huo wivu tu sasa ulitakaje ?, niki endelea kuandika utasema nakutukana bure ila hicho kitoto kiache kipate neema ya utajiri , hii sio hoja kabisa, mbona R.kelly alikula bk ya AALIYAA, tena bado kitoto kidogo sn, na hyo aalliya hakubakwa that means
 
Hiyo research uliifanya lini?

Case study ilikuwa wapi?

Supervisors wako walikuwa nani?

Samples zipi ulitumia?

Methodology ipi iliyotumika?

Techniques zipi ulizotumia?

Dissertation tittle ipi iliyotumika?

Waathirika wangapi waliokumbwa na hilo jambo?

Uliweka suggestions zipi?

Ulitumia references zipi?

UJUAJI MWINGI MBELE GIZA
Haaaa mkuu bila shaka utakuwa na watoto wa kike ndo maana panic yako iko juu sana.

Mkuu mm bado ni kijana na hao mabinti zenu mnao waita watoto nimewashuhudia shuleni nipokuwa nasoma na sasa hivi nawashuhudia mitaani tena wao ndo wanao tutega ili tuwatongoze.

Unalizia kuwa nimefanya utafiti lini mbona umeniuliza swali la kijinga mkuu?

Kwahiyo maelfu ya wanafunzi wa primaly na sekondari wanao tangazwa na wizara ya elimu kuwa wamechishwa shule kwa sababu ya ujautizo huwa wana umri gani ?

Mkuu punguza hasira ww kuzaa watoto wa kike haiwezi kutukataza kuongea uhalisia uliko mitaani.
 
Wakati TEC Wanapendekeza Viongozi waondolewe Kinga ya kutoshitakiwa, yaani wote tuwe Sawa Mbele ya sheria, Hawa wenzetu wanapendekeza watoto wa miaka 11, 12 ,13 ,14 waruhusiwe kuolewa, kupanga ni kuchagua ......
Yaani kama ukweli vile kupanga ni kuchagua kwa kweli
 
Kama hasomi na ana umbo kubwa mm nitamrusu tu .
Unaweza ukamkatalia na bado akaenda kuliwa na wahuni huko mitaani akakuletea mimba nyumbani na hautakuwa na cha kumfanya maana ww ndo ulikataza asiolewe.

Ok poa poa
 
Haaaa mkuu bila shaka utakuwa na watoto wa kike ndo maana panic yako iko juu sana.

Mkuu mm bado ni kijana na hao mabinti zenu mnao waita watoto nimewashuhudia shuleni nipokuwa nasoma na sasa hivi nawashuhudia mitaani tena wao ndo wanao tutega ili tuwatongoze.

Unalizia kuwa nimefanya utafiti lini mbona umeniuliza swali la kijinga mkuu?

Kwahiyo maelfu ya wanafunzi wa primaly na sekondari wanao tangazwa na wizara ya elimu kuwa wamechishwa shule kwa sababu ya ujautizo huwa wana umri gani ?

Mkuu punguza hasira ww kuzaa watoto wa kike haiwezi kutukataza kuongea uhalisia uliko mitaani.
Swali lilikuwa la akili ndiyo maana umetapatapa kunijibu we kenge Mkuu.
 
Swali lilikuwa la akili ndiyo maana umetapatapa kunijibu we kenge Mkuu.
Sasa nimetapatapa wapi?
Umeuliza swari nimekujibu tena kwa kukupa ushahidi tena wa kiserikali kupitia wizara ya elimu kuwa maelfu ya wanafunzi wanaachishwa shule kwa sababu ya ujautizo.

Kama una watoto wa kike kuanzia miaka 13 usiwaite watoto hao wana mabwana mitaani tena waweza kuta mabwana zao ni wakubwa kukuzidi hata ww baba yao najua unaumia ila huo ndo ukweli.
 
Huo wivu tu sasa ulitakaje ?, niki endelea kuandika utasema nakutukana bure ila hicho kitoto kiache kipate neema ya utajiri , hii sio hoja kabisa, mbona R.kelly alikula bk ya AALIYAA, tena bado kitoto kidogo sn, na hyo aalliya hakubakwa that means
Kwa jinsi ulivyo mpumbavu, unamzungumzia mtu ambaye amefungwa kwa makosa ya kuwadhalilisha watoto kingono kitu ambacho nyie Waislamu wapumbavu ndicho mnachokifanya.

Pumbavu Mlegezo ww
 
Ludia kusoma sheria ya ndoa mbona haija futika hapo juu au ulikuwa usingizini ukakometi bila kusoma?
Umeelewa nilichokiandika? Sisemi kuwa sheria haipo au sijaisoma. My point ni kuwa hao BAKWATA walitakiwa waseme si sawa mtoto wa mika 14 aolewe..!! Ok, sheria ipo, nini kilifanya watoe maoni kuwa ni sawa mtoto wa miaka 14 kuolewa? AU walitaka kupingana na sheria?
 
BAKWATA wapo sawa kwani wanachozungumzia wao ni ndoa na sio uasherati na ndoa ya mazingira hayo ni kwa ridhaa ya mahakama.
Ni heri mabinti zetu waolewe kuliko kuzaa wakiwa nyumbani na kukosa uelekeo wa maisha.Ndoa ndio mpango mzima.Tusilete mihemuko katika jambo hili kwani nina hakika hakuna mahakama itakayoruhusu ndoa ya MSICHANA mwenye miaka chini ya 18 pasipo kujiridhisha katika vipengele vyote na hakuna mwanaume atakayefanya makosa katika hili kwani gharama yake ni miaka 30 au maisha jela
 
Kuwa mapepe sio kigezo kizuri cha kuolewa hata kwa mtu mzima, zaidi sana kwa mtoto.
Watafungwaje wakati Serikali na dini zimekubali?

Mtaani kwangu kuna darasa la 6 mapepe vibaya mno
 
Ulishakutana na bint wa lasaba au form 4 brain washed akili fupi sana, akibarehe aolewe tu
Hatufanani. Kila mmoja yuko kivyake. Sasa wale ambao hawako sawa, wasitumike kuwakosesha nafasi walio sawa. Nawe nikuulize, UMESHAKUTANA NA BINTI AMBAYE KICHWANI YUPO VIZURI SANA..!!?? Kama jibu lako ni ndiyo, kwanini huyo asitumike kama mfano kwa wengine kuendelea na shule badala ya kuolewa wakiwa na umri wa miaka 14? Kwa maneno mengine, kwanini aliyeharibika atumike kama mfano wa wengine na ambaye hajaaribika hatumiki kama mfano?
 
Back
Top Bottom