Natamani nijue Makonda alisema nini kuhusu Uislamu.
Ila inaonyesha Lowassa ameshajioteshea mizizi kwenye maeneo na taasisi nyingi tayari.
Kama sheikh wa mkoa wa Dar anasema Makonda aache kuwachagulia Waislamu marafiki, hii kauli ni nzito na very positive kwa Lowasa.
Napata kiwewe zaidi kuona jinsi jina la huyu mamvi linavyovuma na kutetewa na watu wasiotegemewa.