ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
BAKWATA ni Moja kati ya taasisi kubwa ya kidini hapa nchini
Sijui jukumu lake ni kuangalia mwandam wa mwezi na kutangaza sikukuu ya Eid tu au kuchinja ngamia pale uwanja wa Biafra Kinondoni
Kuna dhulumu za watawala wanatenda Kwa wapinzani ikiwemo kubambikizia kesi watu za uhaini, kunyima katiba mpya, kutokuwepo Kwa tume huru ya uchaguzi n.k
Hizi ni dhuruma za haki za watu
Taasisi kama BAKWATA tulitegemea itoke ikemee machafu haya
Leo kanisa katoliki Tanzania wametoa ujumbe wa Pasaka na kukemea hayo machafu na dhuruma za haki za watu
Nashauri BAKWATA muige na msimamie haki na amani ya Taifa letu