Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,717
- 36,192
Hawa BAKWATA ndumilakuwili vichwa maji mbona kipindi cha Magu hawajamwomba jambo hili?
Sawa mkubwaHao ni suspect na hawajawa convicted na Court of law,fikirisha bichwa hilo acha kushinda Stendi na kuhesabu Mabasi yanayoingia na kutoka kila siku.
Weka ushahidi wa madai yako acha kujitongozesha.Pole sana
Ndo majukumu yake mkuu 🤣🤣, Mwalimu Nyerere alisema urais ni mzigo kila mtanzania anakuangalia, mwenye dhiki anakuangalia mwenye njaa anakuangalia, mwenye kudhulumiwa anakuangalia kwahiyo urais ni mzigo mkubwa.Mnataka Samia akonde sasa maana kila kitu mama khaaa
AiseeWeka ushahidi wa madai yako acha kujitongozesha.
iwafunge accordinglyNa mahakama ikiwakuta na hatia iweje?
Unadhani kila mtu aliweza kusema, kuna ambao hawakuthubutu.BAKWATA Kulikoni mbona Hayati Magufuli hakuwahi hakupewa maombi kama haya?.
Tuliwasikia wapinzani tu wakiongelea jambo hili.
Wanajaribu kumjambisha ili awavute vute kwa msaada kama magu alivyofanya kwa muftiHawa BAKWATA ndumilakuwili vichwa maji mbona kipindi cha Magu hawajamwomba jambo hili?
LAKINI insemekana hao Masheikh ndio walifdhili watu/padre kumwagiwa tindikali.... kuchomwa makanisa.. kma ni kweli, basi wacha wakae ndani maana hao ni hatari sana. Kama siyo kweli, basi let the rule of law take its course! (I stand to be corrected, kuna tetesi za hivyo). Waliowaweka ndani wanaweza kulisemea hli. Najiuliza kwaninimarais wawili hawakuwatoa ndani, tena mmoj muislamu mwenzao!!!!!!Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) imemwomba Rais Samia kuielekeza Serikali kuharakisha uchunguzi wa kesi, mashtaka ama kufuta mashtaka dhidi ya masheikh wanaosota magerezani kwa miaka mingi sasa bila hukumu.
BAKWATA inasema ina imani na Rais kwamba ni mpenda Utawala wa Sheria na Haki za Binadamu. https://t.co/YBfIsIZx0FView attachment 1784644
Ndo maan wameomba, uchunguzi uharakishwe au wafutiwe mashtaka. Wakitiwa hatia hukumu itolewe kwa mujibu wa sheria.Na mahakama ikiwakuta na hatia iweje?
Jaji gani atatoa hukumu? Hatujasahau mlichomfanyia jaji mama Malechela, kwenye kesi ya mabucha ya nguruwe.Ndo maan wameomba, uchunguzi uharakishwe au wafutiwe mashtaka. Wakitiwa hatia hukumu itolewe kwa mujibu wa sheria.
Halafu wakahukumiwa miaka mingapi!?Njama ya kupanga/kushiriki kutaka kufanya ugaidi
Hivi kuna mamlaka inayotoa ithibati ya ushekhe. Maana hawa wako kwenye uchunguzi kama ni magaidi. Watu wanajiita tu masheikh hakuna mamlaka kuthibitisha kumbe njaa tu zinawatuma kuleta uasi nchini.Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) imemwomba Rais Samia kuielekeza Serikali kuharakisha uchunguzi wa kesi, mashtaka ama kufuta mashtaka dhidi ya masheikh wanaosota magerezani kwa miaka mingi sasa bila hukumu.
BAKWATA inasema ina imani na Rais kwamba ni mpenda Utawala wa Sheria na Haki za Binadamu. https://t.co/YBfIsIZx0FView attachment 1784644
Tulieni, kuna aina flani za tuhuma nyingine haziitaji uchunguzi wa haraka, haraka, unaweza uka pata unachotaka ama ukakosa, umakini unahitajika ,wataalam wanafanya kazi kwa kuzingatia taratibu zao siokupush push tu."Kuharakisha uchunguzi wa kesi au kufuta mashtaka"
Hukuona kua kuna option mbili hapo?
Unajua kua hao watuhumiwa wapo ndani kwa muda wa miaka mingapi?Tulieni, kuna aina flani za tuhuma nyingine haziitaji uchunguzi wa haraka, haraka, unaweza uka pata unachotaka ama ukakosa, umakini unahitajika ,wataalam wanafanya kazi kwa kuzingatia taratibu zao siokupush push tu.
Hii iwefunzo kwa wanaojaribu kujihusisha na mambo kama hayo.
Akina nan? Mbona unanijumuisha?? Nimeongea kama sheria inavyotaka, kesi yao uchunguzi ukamilike kama wakikutwa na hatia hukumu itolewe kama hawana kesi ya kujib au hakuna ushahid waachiwe huru.Jaji gani atatoa hukumu? Hatujasahau mlichomfanyia jaji mama Malechela, kwenye kesi ya mabucha ya nguruwe.