BAKWATA: Rais Samia waachie Masheikh waliopo Gerezani bila ya hukumu

Mnataka Samia akonde sasa maana kila kitu mama khaaa
Ndo majukumu yake mkuu 🤣🤣, Mwalimu Nyerere alisema urais ni mzigo kila mtanzania anakuangalia, mwenye dhiki anakuangalia mwenye njaa anakuangalia, mwenye kudhulumiwa anakuangalia kwahiyo urais ni mzigo mkubwa.
 
BAKWATA Kulikoni mbona Hayati Magufuli hakuwahi hakupewa maombi kama haya?.
Tuliwasikia wapinzani tu wakiongelea jambo hili.
Unadhani kila mtu aliweza kusema, kuna ambao hawakuthubutu.

Kwani hujui hali ya utawala ilikuwaje huko nyuma..!?
 
Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) imemwomba Rais Samia kuielekeza Serikali kuharakisha uchunguzi wa kesi, mashtaka ama kufuta mashtaka dhidi ya masheikh wanaosota magerezani kwa miaka mingi sasa bila hukumu.

BAKWATA inasema ina imani na Rais kwamba ni mpenda Utawala wa Sheria na Haki za Binadamu. https://t.co/YBfIsIZx0FView attachment 1784644
LAKINI insemekana hao Masheikh ndio walifdhili watu/padre kumwagiwa tindikali.... kuchomwa makanisa.. kma ni kweli, basi wacha wakae ndani maana hao ni hatari sana. Kama siyo kweli, basi let the rule of law take its course! (I stand to be corrected, kuna tetesi za hivyo). Waliowaweka ndani wanaweza kulisemea hli. Najiuliza kwaninimarais wawili hawakuwatoa ndani, tena mmoj muislamu mwenzao!!!!!!
 
Kweni Shekhe wangu Ponda Issa Ponda
1326.gif
anasemaje?
 
Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) imemwomba Rais Samia kuielekeza Serikali kuharakisha uchunguzi wa kesi, mashtaka ama kufuta mashtaka dhidi ya masheikh wanaosota magerezani kwa miaka mingi sasa bila hukumu.

BAKWATA inasema ina imani na Rais kwamba ni mpenda Utawala wa Sheria na Haki za Binadamu. https://t.co/YBfIsIZx0FView attachment 1784644
Hivi kuna mamlaka inayotoa ithibati ya ushekhe. Maana hawa wako kwenye uchunguzi kama ni magaidi. Watu wanajiita tu masheikh hakuna mamlaka kuthibitisha kumbe njaa tu zinawatuma kuleta uasi nchini.
 
"Kuharakisha uchunguzi wa kesi au kufuta mashtaka"

Hukuona kua kuna option mbili hapo?
Tulieni, kuna aina flani za tuhuma nyingine haziitaji uchunguzi wa haraka, haraka, unaweza uka pata unachotaka ama ukakosa, umakini unahitajika ,wataalam wanafanya kazi kwa kuzingatia taratibu zao siokupush push tu.

Hii iwefunzo kwa wanaojaribu kujihusisha na mambo kama hayo.
 
Unajua kua hao watuhumiwa wapo ndani kwa muda wa miaka mingapi?
 
Jaji gani atatoa hukumu? Hatujasahau mlichomfanyia jaji mama Malechela, kwenye kesi ya mabucha ya nguruwe.
Akina nan? Mbona unanijumuisha?? Nimeongea kama sheria inavyotaka, kesi yao uchunguzi ukamilike kama wakikutwa na hatia hukumu itolewe kama hawana kesi ya kujib au hakuna ushahid waachiwe huru.
 
Back
Top Bottom