Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,187
- 138,486
wanataka wawe huru kuunda taasisi yao wenyeweWao wanataka iweje?
Waislam ukiwaacha wenyewe bila usimamizi madhubuti watamalizana na watamaliza wasio waislam, waislam wanahitaji kuongozwa na sio kujiongoza,mwl alilijua hilo ndio maana akaamua kuwaanzishia bakwata, vinginevyo wangemalizana, maana wao kwa wao hawaelewani,washia hawaelewani na wasuni nk.Jamani makubwa nayasikia hapa kupitia Star TV.Wachambuzi maustaadh wanaeleza hadith za Mtume hasa mfungo na sikukuu ya Idi.Sasa hapa kwenye hitimisho ndio wamesema waislam waachwe waunde chombo chao wenyewe na si hii BAKWATA.Wamesema Uundwaji na BAKWATA umechambuliwa vizuri na mwenzetu Mohamed Said kwamba malengo ya BAKWATA sio mazuri.Mwisho kabisa wamesema BAKWATA ni tawi la Kanisa....My Take:R.I.P Mwalimu Nyerere na mafunzo yako juu ya mshikamano
Waislamu wananishangaza wanadai BAKWATA imeundwa na Serekali na ni tawi la Kanisa.Nasema sawa Waislam hao hao kila siku wanataka kuundiwa Mahakama ya Kadhi na serekali sijui nayo itakuwa tawi la Kanisa.
Nani kawazuia waIslam kuunda chombo chao.
nani kajidhalilishaAcheni kujidhalilisha