Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 12,286
- 10,390
Kwani wale waliouwa ubalozi wa Marekani ni Wakristo peke yao? Hivyo bado hujaelewa bado utumbo wako uliuanika? Unapozungumza kuombwa radhi na BAKWATA eti Muislamu alifanya uharamia sasa unakatalia nini kukubali kuwa Kanisa libebe msalaba wa waumini wao wanaouwa Maalbino> Nafikiri utumbo unajichakachua!1
nashindwa kukutofautisha na mbuzi akiona majani....sikiliza mbwiga, aliyefanya research ni msomi toka udsm, findings za research yake ni kutoka kwenye jamii ya waislam, kwa kuona, kuuliza, au kusikia...je, jamii ya waislam imewahi kutoa kitu substantive to back their claims???????? Au ni kulia tu wakristu wanapendelewa?? Nimesoma o-level in 1990s, tena ktk mkoa wenye muslim population kubwa, darasani walikua hawazd 8 ktk darasa la watu 35,hapo mnamlaumu nani?? Na ktk hao 8, wengi walikua ni watoro,shule wanakuja ktk umiseta, (ni wachezaji wazuri sana).....akili za aina hii mwisho malalamiko?? Amka tafadhali...
Umesahau uliposema BAKWATA wether ilshaomba radhi kwa kulipuliwa kwa bomu ubalozi wa Marekani. Ulikuwa na maana kuwa BAKWATA ndio waliolipuwa???
Nashindwa kukutofautisha na mbuzi akiona majani....sikiliza mbwiga, aliyefanya research ni msomi toka UDSM, findings za research yake ni kutoka kwenye jamii ya Waislam, kwa kuona, kuuliza, au kusikia...JE, JAMII YA WAISLAM IMEWAHI KUTOA KITU SUBSTANTIVE TO BACK THEIR CLAIMS???????? Au ni kulia tu Wakristu wanapendelewa?? Nimesoma O-Level in 1990s, tena ktk mkoa wenye Muslim population kubwa, darasani walikua hawazd 8 ktk darasa la watu 35,hapo mnamlaumu nani?? Na ktk hao 8, wengi walikua ni watoro,shule wanakuja ktk UMISETA, (ni wachezaji wazuri sana).....akili za aina hii mwisho malalamiko?? Amka tafadhali...
Na walioufa na kujeruhiwa Mwembechai walikuwa waislamu peke yao? Hivi waliokufa Pemba walikuwa wafuasi wa CUF peke yao.
Tupe ushahidi kuonyesha kuwa wakristu ndiyo wanaowauwa maalbino na kuwa wanatumwa na kanisa lao kufanya hivyo!
Amandla...
Angalia sasa unaanza kuzungumzia watu badala ya findings wewe umesoma kweli??? I am very doubful inaelekea umedesa sana ndio maana nasema wewe ni nincamput!!! Kawaulize wajinga wenzio na wachochezi wenzio but hapa JF tuko wengi. Nimekupa reference kutoka kwenye nondo ulioitoa mwenyewe unaanza kubwabwaja bila mpango!!!!!
Am just curious......hivi BAKWATA wanaweza kutoa tamko la kulaani mauaji yaliyotokea Arusha???
Nimewauliza wapi Bakwata?
Amandla...
Heh,hivi hujui kwamba findings zinatoka kwa watu haohao??? Research aliyofanya huyu msomi, findings alitoa wapi sasa?? Kama respondents ndo kama hao 8, unatarajia nini?? Binafsi sijasoma, ila nimepitapita tu ndugu Mdondoaji a.k.a Tabula Rasa...
Unajua maana ya rhetorical question? Nilimjibu mwenzako hivyo alipodai kuwa Kanisa liombe msamaha kwa kasisi wake kushangilia mauaji ya Mwembechai. Fact ni kuwa Bakwata haikuwahi kufanya hivyo lakini kwangu mimi ni kuwa pamoja na hilo siamini kuwa waislamu wote walifurahia kitendo kile. Wakiuawa waislamu kama alivyouawa mmoja Arusha sitadai Bakwata kwanza iombe radhi ndiyo nilaani kuuawa kwake. Nimelaani na nitaendelea kulani udhalimu wowote unaofanywa bila kujali rangi, dini, jinsia au itikadi ya anayedhulumiwa au anayedhulumu. Wewe unaweza kusema hivyo?
Amandla..
Fundi Mchundo kwanza naomba nikujulishe nimerekebisha ile post naomba unisamehe sana kwa kukosea jina lako. Pili kama ulivyosema haina mantiki kuitaka jumuiya ya kidini itoe tamko kwani vitendo vinavyofanywa ni binaadamu ndio wanafanya. Sasa hilo swali nikakuambia muulize Mdau anawatakia nini Bakwata kama sio kuchokoa ugomvi? Kama anawataka Bakwata watoe tamko watafanya kwa ridhaa yao nasio kushinikiwa na mie hilo nalipinga kwani wangelianza kwanza Kanisa Katoliki na makanisa mengine kutoa tamko la kulaani kuuwawa kwa raia wasio na hatia Pemba na mwembechai. Venginevyo huo ni unafiki tu!!!
Ulipomjibu ulikuwa ukimjibu kwa kumuona kakosea kuuliza suwala hilo? Kwako wewe BAKWATA na Kasisi ni nani katika jamii? Unakataa tamko la kasisi aliesimama kanisani mbele ya waumini na kutowa tamko na nafikiri uliulizwa nini ilikuwa hatuwa ya Kanisa dhidi yake?
Uliambiwa kuwa unakataa facts na ukabisha na kwa njia ile ile ya kanisa kutomkana Kasisi wake , wewe hutaki kumkana alietowa mada kwa kutaka Taasisi ya kidini kutowa tamko huku akijuwa kuwa huko mwanzo yalishafanyika mauwaji na si BAKWATA wala Kanisa waliolani haizidi viongozi wa kanisa kwa mara mbili tofauti kwa vitendo viwli tofauti wameshatowa kauli za kuyabariki mauwaji.
Sisi tuko katika Forum na kauli zetu ndizo zinazohusika hapa, na iwapo unashindwa kulaani kitendo cha kujadili masuala ya Kitaifa kwa misingi ya dini kama alivyofanya mtowa mada basi lazima ubebe lawama.
Naam ndugu yangu hicho ni Kiswahili safi kwa mie nisi na lugha nyengine zaidi ya hii. Uwe mpagani,uwe Muislamu au Mkristo hakuondowi kosa lako la kufikiri kuwa dini ndiyo inayomaliza kila kitu kwa mja.kwenye bold hapo juu "inatowa",ni kiswahili au?? Mimi mpagani, but lazima niwe mkweli ndugu...
Habari ya mwembechai ilikuwa na maslahi kwa kundi moja katika jamii, habari ya Arusha ina maslahi kwa taifa zima
Lakini kwa nini nimlaani kwa kuuliza swali?
Amandla.....
Hivyo katika elimu ulionayo unaita alichofanya ni kuuliza swali? Swali ukijibiwa si unatosheka jee hivyo ndivyo ilivyo hapa.
Nami nakuuliza swali! kwa kukuuliza kuwa Wanaouwa maalbino kanisa lipewe lawama mbona hukunipongeza badala yake ulifura? si suwala tu hilo???
Habari ya mwembechai ilikuwa na maslahi kwa kundi moja katika jamii, habari ya Arusha ina maslahi kwa taifa zima
Kosa linakuja pale anapoambiwa kuwa BAKWATA haitegemewi kufanya hivyo kwa vile yameshafanyika mauwaji na Serikali zaidi ya mara tatu Lakini (kwa uhuru uleule kama aliokuwa nao mdau) anapoambiwa kuwa waliozoea kutowa kauli kwa vitendo kama hivi si BAKWATA bali ni Kasisi wa Kikiristo. Kardinali wa Kikiristo na sasda viongozi wa kikiristo? Ndugu yangu hilo lina mjadala hapo? Sasa wewe unapoanza kutaka BAKWATa iwajibike kwa vitendo vya waumini wake hapo ndipo panapokuja tatizo.Sikusema si haki yako kuuliza swali. Nilichosema ni kukuomba ufafanuzi wa kuhusika kwa wakristu na kanisa katika mauaji ya Albino? Pili, kwani kwenye swali lake Mdau alisema kuwa Bakwata inahusika? Ninachokiona mimi ni kuwa ameuliza kama Bakwata wana ubavu wa kulaani mauaji ya Arusha. Kosa hapo liko wapi?
BTW, nilichosema mimi ni kuuliza swali si suwala.
Amandla....
Usipoangalia unakaribia kupata ugonjwa unaowapata wengi wanaothamini dini kuliko haki unaoitwa fikramgandoosis. Unajua mission ya dini yoyote duniani? unapoona haki inakiukwa ni wajibu wa wapenda haki wote kukemea. kumbuka leo kwa mwenzio, kesho kwako. hakuna binadamu mwenye akili timamu awezaye kukaribisha hali hatarishi ya maisha ya viumbe wenye thamani kupita wote duniani-Binaadamu. Ni jukumu siyo la wapenda haki tu, bali la watanzania wote kulaani matumizi ya nguvu katika shughuli halali zenye haki za kikatiba ili kuilinda katiba yetu pamoja na mapungufu yake. Hapa natarajia hata viongozi wa serikali kulaani tabia za namna hii. hujasoma magazeti leo kwamba hata Rais Kikwete amesoneshwa na kilichotokea arusha na kuahidi kuwa hakitatokea tena? Hivi unadhani ni kwa nini serikali imefikia kuomba meza ya mazungumzo na wawakilishi wa wananchi-cdm kwa tukio la arusha? THINK THINK THINK kabla hujamwaga mawazo yako janvini