I have found the fool, YOU!! Hiyo ni research imefanywa na msomi, katoa sababu, za muda mrefu na mfupi, SI ZAKE, kazitoa kwa WAISLAMU wenyewe!!...sasa je, wao (WAISLAM) waliwahi kufanya research ya UKWELI kuainisha hayo madai waliyotoa?? Au ni malalamiko tu, wakiacha watoto wao wakikomaa katika elimu Ahera, wakati watoto wa Kikristu wakisoma Elimu ya Duniani... Wakristo wanaendesha shule na taasisi za Elimu kibao, kwa mwenendo wa kulalamika tutafika? Tangu Mkapa katoa majengo ya TANESCO pale Moro, campus/colleges ngapi zimeongezwa?? Unafahamu Tumaini na St. Augustine wana college hadi Tabora na Mtwara, upande wa pili?? Tuache giza na malalamiko bila research/data, kama Waislam wa siku hizi si kama wa zamani, niletee takwimu hapa za discrimination, si hearsay tu!!!
Huku kuzungukazunguka hakutusaidii katka hoja iliyopo. Hii thread ilianzishwa kwa kulitaja BAKWATA ikizaniwa kuwa ni chombo kinachowakilisha Waislamu. Kwa punzi kama yako tunaweza kusema kuwa BAKWATA haiwakilishi maoni ya Waislamu na kulitaka Baraza hili ambalo si chochote kutowa tamko ni wehu tu!Lakini kwa nini unakazania Kanisa Katoliki likuombe msamaha? Yule hakuwa mwakilishi wa kanisa alipotoa maneno hayo sasa kwa nini Kanisa lihusishwe? Hivi kweli kila ambapo kasisi, buruda au mkatoliki mwingine akifanya kosa itakuwa haki Pope au Kadinali aombe msamaha? Mabaya mangapi wanafanya waislamu lakini hatuwasikii viongozi wao wakiyalaani? Ni hivyo hivyo ilivyo kwa wakristu. Wako wanaofanya maovu mengi tu lakini hauwezi kuhukumu kanisa zima. Kanisa halina ugomvi na waislamu sasa hiyo reconcilation ya nini? Au waislamu mna ugomvi na kanisa?
Amandla.......
Huku kuzungukazunguka hakutusaidii katka hoja iliyopo. Hii thread ilianzishwa kwa kulitaja BAKWATA ikizaniwa kuwa ni chombo kinachowakilisha Waislamu. Kwa punzi kama yako tunaweza kusema kuwa BAKWATA haiwakilishi maoni ya Waislamu na kulitaka Baraza hili ambalo si chochote kutowa tamko ni wehu tu!
Hivi Bakwata waliwahi kuiomba msamaha jamii ya watanzania kwa kiendo cha Fupi na wenzake kulipua ubalozi wa Marekani? Au waliokufa na kujeruhiwa hawakuwa watanzania au watu? Mnaona how ridiculous hii blame game inavyoweza kuwa?
Amandla......
Umerukia behewa njiani pengine ungeshaona hilo hapo nyuma!Sasa si mngemjibu hivyo tokea mwanzo? Haya mengine yote ya nini?
Amandla....
Hivyo wale wauwaji wa Maalbino (hawakuwa waislamu) walishatuomba radhi? Duh hata mimi nahisi umeshakasirika!
Huwa nakubali michango yako mingi ambayo huwa inajikita kwenye fact-lakini hii leo ni zero tena beyond pumba za mtama. Mkuu why unataka kupingana na facts?Hukukipenda toka mwanzo. Na hautashambuliwa kwa sababu ni muislamu, utashambuliwa kwa kutoa hoja dhaifu. Kama haja yako ni kwenda mahali ambapo waislamu hawashambuliwi, hapa si pako. Kila mtu anashambuliwa bila kujali dini yao.
Amandla....
Hawana cha kutoa tamko hao, kwanza ndio wanafurahi.... Hivi ujui kuwa imani yao ina jenga chuki wa krt na isitoshe waliokufu ni wafuhasi wa Cdm na sio CUF.
Huwa nakubali michango yako mingi ambayo huwa inajikita kwenye fact-lakini hii leo ni zero tena beyond pumba za mtama. Mkuu why unataka kupingana na facts?
Mbona unatapatapa? Unataka kutuambia wauaji wote wa maalbino ni wakatoliki na maalbino wote waliouawa ni waislamu? Madai kama haya ndiyo yanayowafanya mkose credibility.
Kipi cha kunikasirisha humu?
Amandla....
Facts zipi ambazo ninapingana nazo?
Amandla...
Wangelikufa wafuasi wa CUF ungelisikia humu JF. Wengine wangelisema wamezidi kiherehere tu hao!!! But la msingi watu wanasahau sisi sote ni watanzania na sio vyengine. Sasa basi tusitafute kuchokoana ukweli unabaki pale pale tuache unafiki kama mnataka Tamko la Bakwata basi lingeanza Tamko la Kanisa Katoliki na mengineyo kuhusu mwembechai, na Pemba venginevyo wako busy na mchakato wa Katiba, kadhi, OIC na mustakbali wa waislamu....
Baadhi ya Wana CHADEMA wanaposti post za kuegemea upande mmoja wa dini lakini kwa vile nawe umeshaonyesha kuegemea pia basi tukuache tu uanike.............
Kweli wangekufa wafuasi wa CUF wako ambao wangefurahia. Lakini si lazima kuwa wote watakaofanya hivyo watakuwa wakatoliki. Walipouawa watu Pemba wako waunguja waliofurahia. Hao hawakuwa wakristu! Walipokufa watu Mwembechai wako waislamu waliofurahia. Vile vile kama ilivyo huko Arusha. Wako wakristu waliofurahia. Wengi wanaofanya hivi hawafanyi hivyo kwa misingi ya dini bali tofauti za kisiasa na kiutawala. Sasa nyinyi kama kila kitu mtangoja Kanisa katoliki lifanye uamuzi ndiyo m-react hamtakuwa watu wa principle. Kama principle zako zinachukia raia asie na hatia kuuawa basi utamlaani yeyote atakayemuua bila kujali kama aliyefanya hivyo ni mkristu, muislamu, mhindu, rasta au asiye na dini. Na utafanya hivyo bila kujali kuwa yule aliyeuawa hakulaani wakati ndugu yako alipouliwa. Kufanya tofauti na hivyo kunaonyesha kuwa principle zako zina walakin maana zinakuja na bei.
Amandla.....
Hizo ndizo facts unazodai? Kuwa wanaChadema wanaegemea upande mmoja? Sasa napingana nazo vipi?
Amandla.....
Kweli wangekufa wafuasi wa CUF wako ambao wangefurahia. Lakini si lazima kuwa wote watakaofanya hivyo watakuwa wakatoliki. Walipouawa watu Pemba wako waunguja waliofurahia. Hao hawakuwa wakristu! Walipokufa watu Mwembechai wako waislamu waliofurahia. Vile vile kama ilivyo huko Arusha. Wako wakristu waliofurahia. Wengi wanaofanya hivi hawafanyi hivyo kwa misingi ya dini bali tofauti za kisiasa na kiutawala. Sasa nyinyi kama kila kitu mtangoja Kanisa katoliki lifanye uamuzi ndiyo m-react hamtakuwa watu wa principle. Kama principle zako zinachukia raia asie na hatia kuuawa basi utamlaani yeyote atakayemuua bila kujali kama aliyefanya hivyo ni mkristu, muislamu, mhindu, rasta au asiye na dini. Na utafanya hivyo bila kujali kuwa yule aliyeuawa hakulaani wakati ndugu yako alipouliwa. Kufanya tofauti na hivyo kunaonyesha kuwa principle zako zina walakin maana zinakuja na bei.
Amandla.....
So kama principle nimtu basi swali limrudie muulizaji kwanini unawauliza bakwata?
Hupingani na fact hiyo basi si ukiri na baadae usiunganishe makosa ya mtu na dini yake ili yaishe?
Crap wewe kweli ni juha. Nondo umeitoa mwenyewe halafu unaanza kuipinga what a nincamput!!! Endelea kuulizia Bakwata nishakuambia wako busy wafate KKKT wakupe tamko usitufatefate. Ukitaka mtazamo wangu nayapinga mauaji kwa vile serikali imetumia nguvu isiyokuwa na ulazima but kama taasisi ya kidini napinga wasitoe tamko maana hakuna haja.
Umesahau uliposema BAKWATA wether ilshaomba radhi kwa kulipuliwa kwa bomu ubalozi wa Marekani. Ulikuwa na maana kuwa BAKWATA ndio waliolipuwa???Wapi nilipounganisha makosa ya mtu na dini yake?
Amandla....