Maziku-Winston Smith
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 300
- 173
- Thread starter
-
- #21
Kama unategemea bakora kumjenga mtoto kitabia basi unakosea kwa sababu bakora ni kama short-term measure tu ya kumuadabisha lakini kumbuka huyo mtoto atakuwa mkubwa huko baadae nani atamchapa akikosea?No wonder watoto wa siku hizi matatizo matupu kama wazazi mko hivi.
Hata vitabu vya dini vinaruhusu bakora kwa watoto.
Wataenda ndio. Wawekee vizuizi.bila kuchapa wataenda kweli?
Wazuiwe kupata kitu gani kwa mfanoWataenda ndio. Wawekee vizuizi.
Kama kuna kitu kinawafanya wawe jeuri wazuie wasikipate.
Watoto wenye umri wa miaka 3-17Unaongelea mtoto wa miaka mingapi
Mbona wapo wanaochapwa sana na bado wanaishiwa kupewa mimba za utotoni na tabia nyinginezo tu za ajabu.Ukimnyima kitu au hela atapewa na jirani au na mtu njiani, mwisho wa siku mtoto wako atakua shoga au atakuletea mimba nyumbani, uko tayari???
huyu baba anaweza anza kulia yeyeWapigiwe tu !!!
nakubaliana na kuchapwa kwa mtoto.. kwani inamtahadharisha na kumjenga kutii amri, sheria na maadili....!!
View attachment 395522
pole yake..huyu baba anaweza anza kulia yeye
Kumnyima inategemea unamnyima kitu gani lakini sio umnyime kila kitu akipendacho.wazazi wengi tunakosea kiboko kiwepo kiasi si unampiga mtoto kama mnyapara ,.. kama mtoto umemwambia ukifanya hivi nakuchapa fimbo tano mchape hizo hizo usiongeze na wala usipunguze na pia usimbembeleze hapo hapo ... hakikisha anajua amekosea wapi kabla ya kumpa adhabu na usiongeee kwa kufoka ongea kwa ukali kiasi huku ukimaanisha na mpe adhabu stahiki.. usimnyime mtoto kula au kitu akipendacho ukifanya hivyo atakuviza aaanze tabia nyingine mbaya zaidi kama ya udokozi
hapo muhimu lazima mzazi ujue mwanao anafanya nini kwenye tv na computerKumnyima inategemea unamnyima kitu gani lakini sio umnyime kila kitu akipendacho.
Mimi nasemea kumwekea vizuizi kwa mfano unaweza ukawa unamwekea parental guidance kwenye vitu kama TV au computer.
Pia unaweza kutengeneza mazingira ambayo bakora hazihitajiki kabisa na bado mtoto ukamjenga kitabia.Bakora inasaidia kulingana na mazingiza uliyopo ila isipitilize.
Kiboko kingekuwa kinafunza tungeona jamii yenye maadili makubwa hivi sasa.Kiboko kinafunza
Ndio ujiulize kuwa umeanza kumkunja samaki angali mbichi?Kiboko kingekuwa kinafunza tungeona jamii yenye maadili makubwa hivi sasa.