Maziku-Winston Smith
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 300
- 173
Si bora hiyo bakoraHabari zenu wanajamvi,
Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama bakora zinamjenga mtoto kinidhamu.
Badala ya kutumia bakora kumtia mtoto nidhamu jiulize kwanza je huyu mtoto anao uwezo wa kuwaza na kuwazua ikiwa anao basi mweleze kwa maneno ya kumjenga, usimpige bakora wala na kitu chochote.
Na kama hana uwezo wa kuwaza na kuwazua basi mwekee vizuizi vitakavyomfanya asiweze kuharibikiwa.
Je wewe una mtazamo gani juu ya bakora?
Wewe unaishi USA babyBakora hazilipi na ni uonevu wa hali ya juu.
Wanaosema ni vitabu vya dini ndio vinafundisha wanieleze wapi mitume wetu walichapwa bakora.
Tumkumbuke Gandhi na mbinu aliyotumia kufikia malengo yake.
Kama mwanao akivunja chombo nyumbani unamchapa,je wewe ulishawahi kuchapwa kazini kwako uliposababisha hasara kama hiyo!!?:
Mengi tunafanya bila kutafakari wala kujielewa,wengi wamechapwa vya kutosha lakini ndio hao hao wamekuwa majambazi nk
Nakwambia omba usizae mtoto ukiwa unaishi uswahilini na akakulia hapo,unaweza kuja kumkana baadae,ni kweli kuchapa mtoto hata mimi sifurahi ila kuna mitoto ndugu yangu ni hatariHabari zenu wanajamvi,
Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama bakora zinamjenga mtoto kinidhamu.
Badala ya kutumia bakora kumtia mtoto nidhamu jiulize kwanza je huyu mtoto anao uwezo wa kuwaza na kuwazua ikiwa anao basi mweleze kwa maneno ya kumjenga, usimpige bakora wala na kitu chochote.
Na kama hana uwezo wa kuwaza na kuwazua basi mwekee vizuizi vitakavyomfanya asiweze kuharibikiwa.
Je wewe una mtazamo gani juu ya bakora?
Kuna adhabu mbadala unaweza kumnyima kitu akipendacho sana kama adhabu mfano kama anapenda sana mkate na blueband MPE mkate mkavubila kuchapa wataenda kweli?
Labda wa kishua Ila sio ea uswahilini kaka...!hiyo blue band ataenda kuomba kwa jirani!Kuna adhabu mbadala unaweza kumnyima kitu akipendacho sana kama adhabu mfano kama anapenda sana mkate na blueband MPE mkate mkavu
Unaongelea mtoto wa miaka mingapiHabari zenu wanajamvi,
Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama bakora zinamjenga mtoto kinidhamu.
Badala ya kutumia bakora kumtia mtoto nidhamu jiulize kwanza je huyu mtoto anao uwezo wa kuwaza na kuwazua ikiwa anao basi mweleze kwa maneno ya kumjenga, usimpige bakora wala na kitu chochote.
Na kama hana uwezo wa kuwaza na kuwazua basi mwekee vizuizi vitakavyomfanya asiweze kuharibikiwa.
Je wewe una mtazamo gani juu ya bakora?
Ukimnyima kitu au hela atapewa na jirani au na mtu njiani, mwisho wa siku mtoto wako atakua shoga au atakuletea mimba nyumbani, uko tayari???Kuna adhabu mbadala unaweza kumnyima kitu akipendacho sana kama adhabu mfano kama anapenda sana mkate na blueband MPE mkate mkavu
Ukiona hivyo ndo ujue kuwa bakora hazijengi kabisa kwa sababu itafika wakati hao watoto watakuwa watu wazima hivyo wataachwa kupigwa bakora. Sasa je ni nani atakuwa anawaweka kwenye mstari wakikosea huko? Watapigwa bakora tena kama walivyokuwa watoto?Mazikujohn
tena wengine imeshakuwa kama ni fashion,kuna watoto huku wameshazoea bila bakora hawatekelezi jambo! mzazi wao ndio amewazoesha sa hivi hata ukiwaambia kitu hakitekelezwi haraka mpk utie bakora! sijui tunaunda watu wa namna gani...!