englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Hadi leo jamaa anawaza atarudi vipi kwake. Kamuaga mkewe anaenda China kwa ndege ya Malaysia iliyopotea, tena kasindikizwa hadi airport. Kumbe kazama mtaa wa tatu kwa nyumba ndogo. Sasa ndege imepotea na abiria wote. Akirudi kwake atajieleza vipi na ndege bado haijaonekana?
Michepuko sio dili,baki njia kuu!!
Michepuko sio dili,baki njia kuu!!