Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Feb 3, 2014 #61 Fidel80 said: I see HOE tatizo ni foleni Click to expand... Sa wote mkikimbia foleni njia kuu si zitakuwa hazina foleni tena
Fidel80 said: I see HOE tatizo ni foleni Click to expand... Sa wote mkikimbia foleni njia kuu si zitakuwa hazina foleni tena
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Feb 3, 2014 #62 Asprin said: Watu hawajui utamu wa kabang... wanahangaika na kazi ni kwako.. Click to expand... Airtel yatosha....ina vifurushi vilichojitolesheleza kila kitu
Asprin said: Watu hawajui utamu wa kabang... wanahangaika na kazi ni kwako.. Click to expand... Airtel yatosha....ina vifurushi vilichojitolesheleza kila kitu
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 3, 2014 #63 Asprin said: Watu hawajui utamu wa kabang... wanahangaika na kazi ni kwako.. Click to expand... Inabidi wapewe elimu kwa muktadha huu
Asprin said: Watu hawajui utamu wa kabang... wanahangaika na kazi ni kwako.. Click to expand... Inabidi wapewe elimu kwa muktadha huu
Dark City JF-Expert Member Joined Oct 18, 2008 Posts 16,252 Reaction score 11,649 Feb 3, 2014 #64 MwanajamiiOne said: Loh.............. kweli kazi bado ipo. Babu wanamaanisha kuwa mpende bibi peke yake, lile tendo la ndoa ulifanye na bibi peke yake. Hayo ya 0713 hawajasema labda tukawaulize hawa PSI watujibu. Click to expand... Daaaaaaaaaahhh, Kumbe kustaafu ni raha sana....eeeehh??
MwanajamiiOne said: Loh.............. kweli kazi bado ipo. Babu wanamaanisha kuwa mpende bibi peke yake, lile tendo la ndoa ulifanye na bibi peke yake. Hayo ya 0713 hawajasema labda tukawaulize hawa PSI watujibu. Click to expand... Daaaaaaaaaahhh, Kumbe kustaafu ni raha sana....eeeehh??
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Feb 3, 2014 #65 Heaven on Earth said: vichochoro madhara mengi bota kubaki njia kuu tu Click to expand... Vichochoro vinafupisha safari. njia kuu ndefu sana, na mafuta bei ghali.
Heaven on Earth said: vichochoro madhara mengi bota kubaki njia kuu tu Click to expand... Vichochoro vinafupisha safari. njia kuu ndefu sana, na mafuta bei ghali.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Feb 3, 2014 #66 Fidel80 said: Min Kabang haiongopi mpwa twanga kotekote. Click to expand... hahaaaa hiyo Min kabang kifurushi chaweza kukatika katikati ya maongezi
Fidel80 said: Min Kabang haiongopi mpwa twanga kotekote. Click to expand... hahaaaa hiyo Min kabang kifurushi chaweza kukatika katikati ya maongezi
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 3, 2014 #67 Heaven on Earth said: Sa wote mkikimbia foleni njia kuu si zitakuwa hazina foleni tena Click to expand... Sasa unakuja kwenye point ndo maana twapita vichochoroni tuwahi kufika.
Heaven on Earth said: Sa wote mkikimbia foleni njia kuu si zitakuwa hazina foleni tena Click to expand... Sasa unakuja kwenye point ndo maana twapita vichochoroni tuwahi kufika.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Feb 3, 2014 #68 Fidel80 said: Sasa unakuja kwenye point ndo maana twapita vichochoroni tuwahi kufika. Click to expand... ewaa nadhani hajui njia kuu ni ndefu na mzunguko huwa mkubwa.
Fidel80 said: Sasa unakuja kwenye point ndo maana twapita vichochoroni tuwahi kufika. Click to expand... ewaa nadhani hajui njia kuu ni ndefu na mzunguko huwa mkubwa.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 3, 2014 #69 Heaven on Earth said: hahaaaa hiyo Min kabang kifurushi chaweza kukatika katikati ya maongezi Click to expand... Ukimaliza unajiexpress faster.
Heaven on Earth said: hahaaaa hiyo Min kabang kifurushi chaweza kukatika katikati ya maongezi Click to expand... Ukimaliza unajiexpress faster.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 3, 2014 #70 Asprin said: ewaa nadhani hajui njia kuu ni ndefu na mzunguko huwa mkubwa. Click to expand... Alikuwa hajui mnakasha huu utamsaidia faida ya vichochoroni na hasara ya njia kuu.
Asprin said: ewaa nadhani hajui njia kuu ni ndefu na mzunguko huwa mkubwa. Click to expand... Alikuwa hajui mnakasha huu utamsaidia faida ya vichochoroni na hasara ya njia kuu.
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 3, 2014 #71 Dark City said: Daaaaaaaaaahhh, Kumbe kustaafu ni raha sana....eeeehh?? Click to expand... Haha babuu unakumbuka JF ya 2009-2011
Dark City said: Daaaaaaaaaahhh, Kumbe kustaafu ni raha sana....eeeehh?? Click to expand... Haha babuu unakumbuka JF ya 2009-2011
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Feb 3, 2014 #72 Asprin said: Vichochoro vinafupisha safari. njia kuu ndefu sana, na mafuta bei ghali. Click to expand... Bora gharama za mafuta kuliko za kulipa fine ukikamatwa na ma trafiki
Asprin said: Vichochoro vinafupisha safari. njia kuu ndefu sana, na mafuta bei ghali. Click to expand... Bora gharama za mafuta kuliko za kulipa fine ukikamatwa na ma trafiki
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,586 Feb 3, 2014 Thread starter #73 Asprin said: Uchochoro unasaidia kufupisha safari. njia nyingine ndefu sana, unazunguka mpk unachoka. Mafuta hayachelewi kuishia njiani. Click to expand... Hah tatizo wewe una akili sana nawezajitia kukujibu kumbe nikateleza. Ngoja niishie tu kukutizama lakini kumbuka Baki njia kuu, kuchepuka sio dili
Asprin said: Uchochoro unasaidia kufupisha safari. njia nyingine ndefu sana, unazunguka mpk unachoka. Mafuta hayachelewi kuishia njiani. Click to expand... Hah tatizo wewe una akili sana nawezajitia kukujibu kumbe nikateleza. Ngoja niishie tu kukutizama lakini kumbuka Baki njia kuu, kuchepuka sio dili
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Feb 3, 2014 #74 Asprin said: Ewaa. Uzuri wa 0713 unaweka kabaang afu unatwanga mitandao yote. Kama vipi unatumia mini kabaang. Click to expand... yap! Basi fanya fasta pale Hilton guest house chumba namba10 umenitamanisha kweli.
Asprin said: Ewaa. Uzuri wa 0713 unaweka kabaang afu unatwanga mitandao yote. Kama vipi unatumia mini kabaang. Click to expand... yap! Basi fanya fasta pale Hilton guest house chumba namba10 umenitamanisha kweli.
Mshawa JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 787 Reaction score 325 Feb 3, 2014 #75 Fidel80 said: Kambare bila tope hakuna uhai. Click to expand... Kiswahili kigumuu....!!
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 Feb 3, 2014 #76 MwanajamiiOne said: Hah tatizo wewe una akili sana nawezajitia kukujibu kumbe nikateleza. Ngoja niishie tu kukutizama lakini kumbuka Baki njia kuu, kuchepuka sio dili Click to expand... Njia kuu hasara tupu
MwanajamiiOne said: Hah tatizo wewe una akili sana nawezajitia kukujibu kumbe nikateleza. Ngoja niishie tu kukutizama lakini kumbuka Baki njia kuu, kuchepuka sio dili Click to expand... Njia kuu hasara tupu
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Feb 3, 2014 #77 Heaven on Earth said: Bora gharama za mafuta kuliko za kulipa fine ukikamatwa na ma trafiki Click to expand... Vichochoroni hakuna trafiki.
Heaven on Earth said: Bora gharama za mafuta kuliko za kulipa fine ukikamatwa na ma trafiki Click to expand... Vichochoroni hakuna trafiki.
MwanajamiiOne Platinum Member Joined Jul 24, 2008 Posts 10,470 Reaction score 6,586 Feb 3, 2014 Thread starter #78 Mkumbuke huko kwenye vichochoro ndo kuna misumari na miba mikubwa mtatoboa tairi zenu hata mkija kwenye njia kuu mnatembelea viraka.
Mkumbuke huko kwenye vichochoro ndo kuna misumari na miba mikubwa mtatoboa tairi zenu hata mkija kwenye njia kuu mnatembelea viraka.
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Feb 3, 2014 #79 Fidel80 said: Sasa unakuja kwenye point ndo maana twapita vichochoroni tuwahi kufika. Click to expand... Njia kuu zitahudumia watu gani sasa kila mtu akichoropoka
Fidel80 said: Sasa unakuja kwenye point ndo maana twapita vichochoroni tuwahi kufika. Click to expand... Njia kuu zitahudumia watu gani sasa kila mtu akichoropoka
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Feb 3, 2014 #80 Mgirik said: yap! Basi fanya fasta pale Hilton guest house chumba namba10 umenitamanisha kweli. Click to expand... Duh tatizo situmii kabang za wanachama wa Elton John.
Mgirik said: yap! Basi fanya fasta pale Hilton guest house chumba namba10 umenitamanisha kweli. Click to expand... Duh tatizo situmii kabang za wanachama wa Elton John.