Mh! mbona mara kadhaa ameshaonekana na anafahamika sasahivi vizuri tu!, katika kipindi alichokuwa anaonekana sana ni kipindi cha magufuli sasahivi mh! si sana..
wakati wa uzinduzi wa hotel yake verde kule Zanzibar akiwa na magufuli, pia kuna kipindi alihojiwa azam tv.