Bakhresa tajiri asiyependa camera

Kuna namna kama nimekuelewa.. unakuta politicians wanapigq pesa ndefu ,ili kuisafisha anaamua kuinject kwa hawa Asians.. anyway huyu bakhresa pia yawezekana ni mmojawapo wa deepstate
 
We chawa uliyejificha, umeonekana😄😄😄
 
Matajiri wa camera ni wale wa ufisadi na sio wapambanaji.
Mpambanaji yeyeto huwezi kuta camera majivuni sijui magari ya kumwaga uwani sijui bata wa hivi huwa ni matajiri wa ufisadi,wa ndagu, ujanja janja
 
Matajiri wa camera ni wale wa ufisadi na sio wapambanaji.
Mpambanaji yeyeto huwezi kuta camera majivuni sijui magari ya kumwaga uwani sijui bata wa hivi huwa ni matajiri wa ufisadi,wa ndagu, ujanja janja
Kuna lile lijizi limoja lingekua Arusha sasa hivi lingekua lishaogeshwa petrol linaitwa godlovu sijui doglovu mpumbavu hana kitu ila kelele nyinyi shenzi
 

Kiongozi, ukiendelea kujifariji kwa kuwa na mawazo kama hayo, unaweza kuwa masikini maisha yako yote;
Hivi unafikiri hadi mtu afike kuaminiwa kupewa mfano kiwanda cha Toyota, Project ya Mabilioni, nk nk unafikiri ni kazi rahisi?
Kwanza, sharti namba moja lazima uwe na clean sheet ya kuonesha ulivyoweza kukuza mtaji wako kutoka Milioni kwenda Bilioni kwa kipindi cha kueleweka na umeweza kupambana na ups and down za kila aina.
Lakini pia kupewa hiyo miradi ni lazima uwe share holder mkubwa tu, hivyo sio kweli kuwa wale ni waajiriwa tu. Hakuna mtu anapewa capital ya karibia trillion halafu mwenyewe asiwe na share.
Uliza watu wenye exposure ya hiyo mikataba ya kimataifa ya uendeshaji wa Biashara...
 
Kuna lile lijizi limoja lingekua Arusha sasa hivi lingekua lishaogeshwa petrol linaitwa godlovu sijui doglovu mpumbavu hana kitu ila kelele nyinyi shenzi
Yule scammer pesa zipo kwa wajinga ukiwa mjanja zipige tu anatoza kiingilio kwa laki na nusu wengi lazima wajae akipata watu 200 ashatoboa
 
Aiseee..... Inasikitisha sana. Sisi wanaume huwa ni ngumu hata kuwazia kuwa chawa wa mtu. Ni aibu sana. Hii dunia sijui inaenda wapi. Unaweza kuta mwandishi alizaliwa kama mwanaume.
 
Hakuna mwanasiasa aliyefanya maendeleo kuanzia kwa Mwinyi mpaka kwa Magufuli na ndio maana kila kukicha wanangangania madaraka. Hakuna watu waliolala kama wanasiasa wao wanataka chao mapema maana hawana uhakika na awamu ijayo ya uongozi. Wahindi nawaarabu ndio wanawacheza, Home Shopping Centre walimlisha kikwete baadae wakabadili jina na kuwa GSM na kumlisha magufuli. Leo hii wanamlisha mama Samia. Narudia na kusema hakuna kampuni kubwa inamilikiwa kwa controlling shares na mwanasiasa yeyote Tanzania.
 
Utajiri wa kipumbavu ndio wanapenda sifa wa akili kwenye sifa uwapati Wala Forbes hawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…