Bakhresa kujenga kiwanda cha sukari Zambia

Bakhresa kujenga kiwanda cha sukari Zambia

Hivi hii TAX HOLIDAY si ndio tulikuwa tunatoa halafu wajanja wakifikisha miaka kadhaa wanabadili jina/umiliki inaanza upya?! Anyway anajenga Bagamoyo na ana viwanda vya kutosha nje ya nchi hamna cha ajabu hapo huyo ni mwekezaji wa kweli.
 
Billionaire wa kitanzania, Mohamed Said Bakhresa anawekeza kiasi cha Dola za kimarekani $320million kwa ajili ya kiwanda cha Sukari kitakachojengwa eneo la"Nakambala" Zambia. Kiwanda hicho kitajengwa kuanzia mwezi wa 9 mwaka huu.

Mwekezaji huyo amepewa ardhí yenye hector 4,000 kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda pamoja kilimo cha miwa. Kadhalika Mwekezaji huyo wa kitanzania anapewa TAX holiday ya miaka 10 kuanzia pale kiwanda kitakapoanza uzalishaji. Hii ni pico kubwa kwa serikali ya Tanzania, ambayo kauli mbiu yake kubwa ni uchumi wa wiwanda.

Source: Confidant in Zambia Ministry of Finance
Anaitwa Said Salim Bakhresa,sio Mohammed Said Bakhresa
 
Naamini Busara ilitumika kwani Vijana wa tapata ajira na atalipa kodi hakuna shida
 
Back
Top Bottom