Bakhresa kujenga kiwanda cha sukari Zambia

Bakhresa kujenga kiwanda cha sukari Zambia

Ukisoma coments za watu humu utajua kabisaaa Wabongo tumelogwa. Kwani kuna ubaya gani mtu kwenda kuwekeza nchi nyingine? Wachina au wazungu wanapokuja kuwekeza Tz ina maana kwao ni kubaya ki uwekezaji? Kuna watu wana funza kichwani syo siri.
 
Tax holiday nchi hii kwa miaka kumi hawezi kupata. Usishangae cha Zambia kikaisha kabla ya cha Tanzania. Hapo kwenye uvutiaji Wa wawekezaji Tanzania itakuwa nyuma .
 
Mbona kiwanda cha cherehani ni mita 5×6 na kazi zinafanyika
Kuwanda cha cherehani na kiwanda cha sukari vyote ni viwanda lakini vimetofautiana katik utendaji,Kiwanda cha sukari lazma kiendane na Shamba la miwa ,Plantation, huwez ukafungua kiwanda cha sukari kwa kuegemea miwa ya kununua kariakoo,wew unafaninisha kiwanda cha sukari na kiwanda cha kushona au?
 
Nimekuelewa

Ila hoja yangu ilikua ni kwa sasa mambo ni kulazimisha hata kama hayaendi kufuata taratibu zake
 
Tax holiday ya miaka 10
Hector 4000

Hata kichaa atakubali. Hongera sana Said. Siyo hivi vitisho vya kila siku na ma ushuru yasiyokuwa na kichwa wala miguu
hii Tax holiday aliyopewa hawa waliodhinisha itakuja kuwafunga jela ngoja uje utawala mpya uingie.
 
Bora dola zake zingine azihifadhi nje ya nchi maana chini ya utawala huu chochote kinaweza kutokea
Comment #4 najua imekuuma sana, umeshindwa hata kuongea ulichotaka ongea.
Long live JPM, long live mzalendo Barkresa.
 
nkisema bakhresa ni billionea in us dollars watu hawaelewi, bakressa ni tajiri kuliko tunavofikiri
 
Duuh afadhali ameona uko kuta mfaa na atapata faida zaidi
 
Kilichonifurahisha ni Tax holiday. Huwezi kuwahimiza watu wajenge viwanda kabla hujawapa nafuu ya kodi. Wenzetu wameangalia ajira kwa watu wao, sisi tunahimiza viwanda cha kwanza tunaangalia pato la serikali kabla ya soko la ajira kwa watu wetu
 
Wakipewa tax holidays mnalia kweli kweli hapa Tz. Wakipunguziwa tax holiday mnalia tena. Sometimes hii nchi unaweza ukasema asilimia kubwa ya watu wanazidiwa IQ hata na lemurs.
 
Back
Top Bottom