Bakhresa Group washusha Meli mpya

Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
Ipo Nyehunge... Mwanza-Nansio
 
hilo tukio nalikumbuka vizuri sana.

hivi ni nani alikuwa waziri wa wizara iliyokuwa inahusika na masuala ya miundombinu na usafirishaji wa kipindi hicho?.

mkuu acha uchochezi
 
Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.

Mkuu ArD67
Kanda za maziwa Victoria Na Tanganyika ziko fursa nyingi Ila vikwazo vingi vinawakatisha tamaa wawekezaji.Sijui Serikali haitaki washindani? Au mradi tukose wote.
 
Vikwazo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…