Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwabakhresa group au Azam km wengi wanavyoifahamu kampuni hii,ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudumu Islamic;kwa nini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma,Hamia,Hamis,Abdul,Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice,biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John,Eliakim,Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo.Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic!
Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Charles Hillary, Ivona Kamuntu na wengineo.bakhresa group au Azam km wengi wanavyoifahamu kampuni hii,ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudumu Islamic;kwa nini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma,Hamia,Hamis,Abdul,Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice,biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John,Eliakim,Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo.Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic!
Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Serikali ya Rwanda imeshalalamikia tayari huo ubaguzi!Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
tazama kwa picha kubwa zaidi. Utapata jibu.mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Karibu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.Mkuu ungekuwa na case study inayokuhusu wewe mwenyewe ingependeza zaidi kuliko kufanya generalization , kama ulifanya application kwenye moja ya kampuni zake na ukaambiwa we tumekuacha kwa ajili ya dini yako na mwenzio akachukuliwa kwa ajili ya dini uke ingependezza zaidi!
watu mtatafuta sababu ndio binadamu lakiniYaani hao walishikwa mkono na viongozi wa serikali .
Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku