The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
- Thread starter
-
- #21
NN Huyo mama mgumu huwa hatoi ovyo unless ameona kabisa there's a needMi nikiwa tajiri hivyo sitaoa aisee na ndo maana nampaga Oprah super big up!
Hahaha!!! Unaanza kufuatilia urithi mapema wewe nnunu hatari kabisa lolNgoja nifatailie ukoo wangu inawezekana huyu dada ni ndugu yangu ..............
nikijieleza kwa muda wa mwezi mmoja anaweza kunielewa na kunifanya sehemu ya huo utajiri wake.......lol
Mimi iliyoniacha hoi ni hiyo Custom made Mecredes Benz thamani yake Tsh 289 MillionUmeona kua haijamuathiri kitu, labda kama mahusiano yao yalikua mabaya but ni vitu ambavyo angeweza mpa hata willingly; i am not clear about the luxury speed boats..
NN of course this is guy rich beyond believe i remember one of his son's who was participating in a Rally Championship in Zanzibar died in car crash in that competition, all his cars were custom made from the manufacturer, right now there is massive and huge construction of the ultra modern stadium for his team (Azam FC ) i wish you could see how the stadium will look like.
Ngoja nifatailie ukoo wangu inawezekana huyu dada ni ndugu yangu ..............
nikijieleza kwa muda wa mwezi mmoja anaweza kunielewa na kunifanya sehemu ya huo utajiri wake.......lol
Hahaha!!! Unaanza kufuatilia urithi mapema wewe nnunu hatari kabisa lol
it must be nice to be ex missus Bakhresa.
Hahahahapengine yuko hapa hapa janvini, omba msaada kwa invizibo
Mimi iliyoniacha hoi ni hiyo Custom made Mecredes Benz thamani yake Tsh 289 Million
pengine yuko hapa hapa janvini, omba msaada kwa invizibo
Usije shangaa ukasikia mwingine anadai kile kiwanda chake cha pale Buguruniha ha haha yote hiyo njaa,
tena njaa ya akili plus uvivu ndani yake.....lol
wadada ujumbe huo, wawindeni wanaume tajiri, mtatoka chapchap zaidi, nendeni kila usiku japo na hela ya kahawa au coca kwenye mahoteli makubwa, kama Holiday inn, Movenpick, Hilton na mengine mengi, msichoke ipo siku, msijali uzuri, ilimradi usiwe mnene, si unajua wenye pesa wanene? nawe ukiwa mnene hamfaidi kitu...
Laywers naona nao watakuwa wamevuna mpunga wa maanaMaybe kama nimeelewa vibaya I believe the Benz iko mkononi kwa B bado, but hata hivyo ndoa ya miaka minne unavuna vyote hivyo.... B next time atajiuliza mara mbili, inaonekana hana lawyers wazuri - huby angekua lazima kalazimisha binti a sign prenuptial agreement...
Wacha tu achukue after all hio kwa Bakheresa its just a nip in the bud....
duh,haya bana wenye mijihela yao haooooooooooo wanaachwa sembuse sisi!"My love dnt cost a thing"
Laywers naona nao watakuwa wamevuna mpunga wa maana
Unakuwa kama serengeti boy wake mbona hata kazi utasahau kufanya wewe ni kudeka tu.