Weka ushahidi wa ukwepaji kodi isije ikawa ni lako jambo! Mtu kuwa na biashara nyingi si kiashirizi za kukwepa kodi..
Mleta mada hebu tupe orodha ya hilo kundi LA walipa kodi wakubwa. Kama huna hiyo orodha basi haya yatakua majungu
Tatizo sio kufichua madudu tatizo ni je watawajibishwa sio mtu ana makosa anaondolewa dar anapelekwa mwanzaMnachoshangaa hapa ni nini wadau hii nchi unadhani hao wangekuwa nalipa kodi stahiki nani kakwambia Tanzania ni masikini subirini vipimo time will tell nawaambia watu watashikwa na butwaa la mwaka kwa haya makitu yatakayochimbuliwa humo tuombeane uzima mtaulizana tu hata huyu:what:
Kwa sababu halipi kodi kama inavyotakiwa nado maana hayupo kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa.Swali la msingi sana.
...kwanini bakhresa hayupo kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa ?
Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa

Jibu ni rahisi,tuache kutumia bidhaa za wakwepa kodi. Mimi naanza kwa baadhi ya bidhaa ya huyu Bakhresa
Sina hakika sana lakini Bharesa anamiliki kampuni nyingi na pia sina hakika kama zipi chini ya kampuni moja kubwa.Magufuli Naomba umchunguze huyu bwana mwenye Majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda Vya vyakula na vinywaji kedekede, Kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri Kama unafuata taratibu na sheria, pia Kama analipa P.A.Y.E Kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko Kwenye kundi LA walipa kodi wakubwa
bakhresa hakwepi kodi na ashawah kupewa tunzo na serikali kwa kuchangia pato kubwa la kodi kwa taifa hili zaidi ni yeye ndo analalamika makato yamekuwa mengi na hizo pesa za kodi aliwahi kuhoji zinakwenda wapi? sababu wanalipa pesa nyingi ila maendeleo hayaonekani!!!!magufuli naomba umchunguze huyu bwana mwenye majengo lukuki nchini, maboti ya abiria, mashamba, viwanda vya vyakula na vinywaji kedekede, kama analipa kodi sawa na mapato yake.
Achunguzwe mfumo wake wa uajiri kama unafuata taratibu na sheria, pia kama analipa p.a.y.e kama inavyotakiwa.
Achunguzwe kwa nini hayuko kwenye kundi la walipa kodi wakubwa