Wnajitoa ufaham tu hakuna mkwepaji kodi kaa MENGI,na biashara nyingi za huyu jamaa ,unakuta haziko wazi , mfano kule mireraini smanjiro ,ana mgodi wa tanzanite lakin cha kushangaza hataki hataki kuwendeleza maana atalipa kodi ,huku akiwa anazalisha tone kadha Za tanzanite,Hilo watu hawalisemi na vyombo vya habari vipo kimya
Kule mererani, njoo hapa mererani. Za kuambiwa changanya na za kwako. Kama amekwepa kodi nendeni mkamkamate mumshitaki