Hapa napenda kuhitalifiana nanyi. Wafanya biashara wakubwa, wazalendo wa Tanzania, lazima wapewe preferential treatment inapokuja kulipa kodi. Hii ni kwa kuwapa moyo wa kujiendeleza zaidi, na kuwalea wanaoinukia. Vinginevyo watahamisha investment zao. Haiwezekani kwa mfanyibiashara mzalendo kushindana na mgeni kama hatapendelewa. Preferential treatment siyo Tax exemption.
Mataifa yote yaliyoendelea yanafanya hivi. In fact hata Balozi zao zinawasaidia mpaka kupata masoko. Natumaini Magufuli ana washauri wazuri katika hili. Kumbuka, mwenye fedha si mwenzio. Kitu gani kitamzuia Bakh kuhamisha invesment zake zote kuzipeleka Kenya?
sawa na kubaliana na wew sasa mtu kama mengi kwa nini apendelewe maana kwanza hatoi kodi halafu pili ajira yenyewe ni ya vibarua , yaani mtu anamzalishia mamilion halafu amna ajira mttu unalipwa kama kibarua 3000 kwa siku