Bakhresa anakwepa kodi?

Bakhresa anakwepa kodi?

Mbona umemtaja Baharesa tuu hujawataja Matajiri wengine au chuki zako tuuu kwa kua ulifukuzwa kazi
 
Hongera kwa kufikiri nje ya box cc tunakatwa kwenye gross wao kwenye net
 
Chonde chonde udini utatusumbua Jana. Alikuwa mkurugenzi muhimbili Leo kamishina wa kodi kesho Bakhsresa tutafika?

Safi sana mkuu nazan umeshaanza kuona gari linapoelekea nipo na check list hapa nmeona kama jamaa wa NSSF na wale wa UDOM wajiandae mpk na lile jembe CAG, wamejipanga mwaka huu tutaisoma namba
 
Hiki ulichoposti una hakika nacho au umesukumwa na chuki binafsi?KWA TAARIFA YAKO BAKHRESA NDO ANAONGOZA KWA KULIPA KODI KUBWA TRA KUTOKANA NA BIASHARA ZAKE.
 
Jibu,
Yanayolipa kodi ni Makampuni yake, sio yeye Bakhresa personally.

(Refer LEGAL BUSINESS ENTITY theory in FINANCE or ECONOMICS)

Bado c jibu ! Makampuni yake hayamo kwenye list na ndo lilikuwa swali?!
 
Bhakressa alifadhili chama cha ccm wakati wa uchaguzi.
Watu waliokua wanakwepa kodi ni kina DSTV,Agha khan hospital,na wafanya biashara wakubwa wengine.
 
Hongera kwa kufikiri nje ya box cc tunakatwa kwenye gross wao kwenye net
Ukiondoa kitu kama 30% ya Watanzania, waliobakia fikira zao ni ndani ya box. Ukijiona umetoka nje ya box na kuuanga na hawa shukura Mungu!
cc: Nazjaz
 
Jibu sahihi ni kuwa jamaa ana makampuni madogo madogo mengi tofauti na tbl ambayo inahesabika moja kubwa na kodi inakatwa kwenye kampuni moja moja means kila kikampuni kinatoa kodi kidogo Ila km ukijumlisha kodi za kila kampuni a anaweza kuwemo, the same case kwa mengi na dewji labda kodi ingekuwa inakatwa kwenye consolidated statement
 
mtaji wa biashara yake naskia et alipewa na rais mstaaf mzee ruksa mwinyi enzi zilee, so mwinyi nae ana hisa zake pale,,sijui kama watamgusa,
ila kinyume na hapo labda jamaa hayupo kwenye orodha hiyo labda analipa kodi stahiki ndo maana humuoni kwenye orodha ya wakwepa kodi
Weka picha makabidhiano mtaji.
 
IPP he? Wanalipa kodi yetu pamoja na wale wanaojifanya kujitolea makanisa na misikiti, Eti ni pamoja na marafiki zake.
 
Una ushahidi au umeandika tu kwa sababu unajuwa kusoma na kuandika.halafu suala la kuajiri naona kama unaleta majungu.
 
msgufuli mwenyewe halipi kodi ya mshahara wake...labda tuanzie hapo
 
kwa taarifa yako amna mfanyabiashara anayefanya biashara zake kwa uwazi kama bakhresa , hapata tanzania , biashara zake ziko wazi kabisa na ni rahisi mno kufuatilia , wafanyakazi wanalipwaje, kodi kiasi gani inalipwa ,njoo huku kwa MENGI vibarua wa kutosha , huku wakiingiza superprofi , . mengi ana campuni inaitwa tanzanite africa na kwa kwa makusudi kabisa AMEJIRENK kama mchinbaji mdogo ili asilipi kodi , kwanzia 2007
hadi hii leo anazalisha tone za tanzanite lakini anajificha nyuma ya wachimbaji wadogowadogo

Sasa kama unayajua haya kwanini ulikaaa kimya? ndo mnalipeleka taifa pabaya!, sasa nawe unatakiwa kuelezea kuwa naye Bwana Mengi halipi kodi, ili taarifa yako isaidie kuwabaini hawa mabwana!
 
Pia hasisahau akina Gwajima, Mwingira na wengine, maana pesa wanazozipata si za utumishi wa Mungu, kuna biashara wanaifanya kama wafanya biashara wengine!
 
Tax evasion na tax avoidance hahahah mambo ya kodi ni magumu sana , kiufupi kulingana na sheria za nchi usishangae hana kosa lolote ,hilj ni tatizo nchi nyingi
 
Usije ukaleta uchochezi wakati huna ushahidi....
 
Bakhresa tena hii nchi ina vilaza sana yaani watu wanavyoponda hela zetu hamuwaoni mnamtaja mzee wa watu buree ccm bwana ni wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom