johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
CCM ni chama kikubwa bwashee!..ccm mnathamini vitu kuliko watu.
..kwa shida zote hizi walizonazo waTz hivi hamuoni aibu kuzungumzia ofisi za chama ktk eneo kama masaki?
Kama kunyang'anya ni rahisi nenda na wewe!Unajenga ofisi za chama kwa fedha za unyang'anyi wakati huo huo watoto wa shule dar es salaam wana kaa chini.
Mradi wa ofisi za walimu ulifika wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muwe mnaazima wale polisi wenu mara moja moja halafu muone!.Kama kunyang'anya ni rahisi nenda na wewe!
Hahahaaa...... Kwani ya Sabodo ilikuwa siri!Utafukuzwa bure huko Lumumba kwa kuwaumbua wenye chama wanaojua SIRI ya zilikotokea ofisi zenu. Hata Kabundi anafahamu mulizipora wapi.Hutamsikia kuhusu hill. Pole.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ni chama kikubwa bwashee!
Mfadhili hapangiwi bwashee!..I know.
..lakini kwanini msisaidie watoto wanaosoma huku wamekaa kwenye mavumbi?
..ccm inapokea bilioni 52 na inachangiwa na MATAJIRI WAKUBWA nchini.
..Haileti picha nzuri kwa ccm kuendekeza anasa huku wananchi wanasota kwa umasikini.
Mfadhili hapangiwi bwashee!
Sasa mbona Chadema hamkuitikia wito wa bilionea Sabodo na mbaya zaidi mlitokomea na fedha za kuchimbia visima alizowapa!..siyo kweli.
..uwezekano mkubwa ni ccm wamekwenda kwa Mzee Bakhresa "wakamuomba" awajengee ofisi ya kifahari.
..na Mzee Bakhresa kwa kuogopa usumbufu ktk biashara zake akaamua kutekeleza matakwa ya ccm / chama dola.
Hivi shule siku hizi zinajengwa na chama na siyo Serikali?..I know.
..lakini kwanini msisaidie watoto wanaosoma huku wamekaa kwenye mavumbi?
..ccm inapokea bilioni 52 na inachangiwa na MATAJIRI WAKUBWA nchini.
..Haileti picha nzuri kwa ccm kuendekeza anasa huku wananchi wanasota kwa umasikini.
Hahahaaa...... Kwani ya Sabodo ilikuwa siri!
Hivi shule siku hizi zinajengwa na chama na siyo Serikali?
Lakini hata hivyo, tujiulize shule ngapi zimejengwa na miradi ya maendeleo ambayo imefanywa na Serikali ya CCM kwa miaka hii minne tu . Vituo vya Afya zaidi ya 350 nchi nzima.
Chadema wanapokea ruzuku zaidi ya milioni 300 kwa mwezi hawajawahi kujenga hata banda la kuku waseme ndo makao makuu yao. Halafu unakuja kutetea ujinga hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app