Ni kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
Kukarabati mabehewa hakuhakikishii kuwa mizigo itafika kule iendako iwapo reli pia haitatengenezwa!! Unaweza kuwa na mabehewa lakini kama erli haipitiki ni kazi bure and vice versa, hivyo basi sambamba na ukarabati wa mabehewa utengenezwaji wa reli pia ufanywe!!! Bakhressa hawezi kuwapa hizo pesa bure ni lazima amewakopesha ila watamlipa kwa kusafirisha mizigo yake kwa makubaliano maalum. Huyo ni mfanyabiashara sio charitable organization.