Izz
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 750
- 322
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
Upo utaratibu wa kuwapunguzia kodi au msamaha kwa makapuni ambayo yanarudisha faida kwa jamii kwa maana ya kutoa misaada mikubwa!
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
hakuna tofauti yyte ni marekebisho madogo tumuwe mnasoma bajeti vizuri na kuelewa bakhera hajachangia hata kumi.. Waziri kaeleza hivi nanukuu
napenda kuchukua fursa hii kuipongeza kwa dhati kampuni ya kitanzania ya s.s bakhresa kwa kuitikia mpango huo na kutoa dola laki 8 ambazo zimetumika kukarabati vichwa 2 vya train aina ya 73xx. Vichwa hivo vinatumika pamoja na kazi nyingine kusafirishia ngano kutoka dsm mpaka mwanza kwa ajili ya soko la s s bakhresa la uganda. Vile vile kampuni ya ticts ltd imeonesha nia ya kutoa kiasi hicho hicho cha fedh kukarabati vichwa 2 vya injine aina ya 64xx na mabehewa 20 kwa ajili ya kusafirishia makasha kutoka bandari ya dsm kwenda kituo cha makasha cha ubungo
Kwa akili yako wewe unaweza kuniambia nisome kitu muda huo tautoa wapi.
Upo utaratibu wa kuwapunguzia kodi au msamaha kwa makapuni ambayo yanarudisha faida kwa jamii kwa maana ya kutoa misaada mikubwa!
Ni kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
Yawezekana uko sahihi, lakini kama ukifika pale Isaka (Bandari ya Nchi kavu) na kuona hali halisi na performance ya hiyo bandari na jinsi huyu jamaa alivyo na nia ya kuona reli hii inakuwa imara naamini utakuja ku-edit post yakoAnatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
hajachangia baeti ila katoa fedha kwa ajili ya kukarabati injini 1 na mabehewa kwa ajili ya kubebea ngano zake kutoka dsm kwenda mwanza kwa ajili ya soko lake la Uganda..
Sisimizi anamchukia tembo! Ha ha haa!
Twashukuru kwa kuliweka sawa hili ili watu wajue why alitoa izo ela it was purely kuboost mzigo wake uende no wonder mzigo ukasafiri bure for sometimes ili kufidia izo ela.Muwe mnasoma bajeti vizuri na kuelewa Bakhera hajachangia hata kumi.. waziri kaeleza hivi NANUKUU
Napenda kuchukua fursa hii kuipongeza kwa dhati kampuni ya kitanzania ya S.S Bakhresa kwa kuitikia mpango huo na kutoa dola laki 8 ambazo zimetumika kukarabati vichwa 2 vya train aina ya 73xx. vichwa hivo vinatumika pamoja na kazi nyingine kusafirishia ngano kutoka DSM mpaka mwanza kwa ajili ya soko la S S Bakhresa la Uganda. vile vile kampuni ya TICTS ltd imeonesha nia ya kutoa kiasi hicho hicho cha fedh kukarabati vichwa 2 vya injine aina ya 64xx na mabehewa 20 kwa ajili ya kusafirishia makasha kutoka bandari ya dsm kwenda kituo cha makasha cha Ubungo
Ni kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
Ni kampuni ya SSB imechangia wizara ya uchukuzi USD800,000 ili mabehewa ya treni yatengenezwe.
Anastahili pongezi.
Source: TBC jana.
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
Sisimizi anamchukia tembo! Ha ha haa!