Bakhresa achangia bajeti $800k

Bakhresa achangia bajeti $800k

Labda mi sijaelewa ametoa kiasi hicho cha pesa ili kukarabati mabehewa au engine kwa ajili ya kupelekea bidhaa zake kwenye soko la uganda.

Quid pro quo. Hakuna msaada hapo period.
 
Hongera ssb kwa mchango wenu,kwa kuwa ziko mkononi mwa dr mwakyembe zitafanyiwa kazi iliyokusudiwa.
 
hiyo pesa itarudi mara mbili yake kwake au zaidi, akili kumkichwa duniani hapa.
 
kumbe amekarabati kwaajili yake. hila msamaha wa kodi una mhusu
 
Ndio kachangia hivyo maana yatakuwa ya serikali halafu yeye atakuwa anatumia. Hata yakienda na mzigo wake hayawezi kurudi bure. Tumpe pongezi zake
 
Ritz,

..hii inanikumbusha kwenda hospitali na syringe na dawa zako.

..daktari anafanya kazi ya kukudunga shindano tu.

..sasa wanataka kusema serikali haina $800k za kukarabati vichwa vya treni??

cc: ZeMarcopolo, Sikonge, Ogah
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa..angeachiwa aendeshe hizi kampuni zetu za Reli...tungekua mbali...

I agree with you! Tena kule nyuma kabisa, behewa la mwisho kwa kila treni angetuwekea sehemu ya ibada ili kusimamisha dini vizuri. Hii ingesaidia sana kuleta mshikamano miongoni mwa watanzania; mshikamano ambao umeonekana kuanza kupotea siku za hivi karibuni kutokana na watu kutomwabudu Mnyezi Mungu inavyotakiwa. Naunga mkono wazo.
 
Hizi ni sarakasi za kifisadi tu. Of coz sisemi Bakhressa ni fisadi ila nasema anajua kuwatumia CCM.
 
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure

Unless una specific info, unakuwa kama punda ambaye anatoa shukurani kwa mateke.

Granted Bakhresa obviously ana business interests zinazomfanya atoe fedha hizi, so it's not entirely charity work.

Lakini kusema anatafuta misamaha ya kodi bila ya kuwa na specific si kumtendea haki, hususan kwa sababu kama angekuwa anatafuta misamaha ya kodi angeweza kutumia hizo hela katika backdoor deals wala usingejua.

Carl Sagan alisema "Extraordinary claims require extraordinary evidence"

Kusema "anatafuta misamaha ya kodi" ni rahisi sana.

Hujatoa ushahidi, hata circumstantial tu.
 
Anatafuta misamaha ya kodi huyu maana ni nadra kwa mtu kufanya hivo bure
Mkuu inatakiwa tuwe na shukrani kwa hiki alichokifanya Bakhresa tunao viongozi walificha fedha nje ya nchi kitu ambacho kama wangeziingiza katika mzunguko wa fedha ndani ya nchi tungekuwa mbali au kama wasingeziiba pia tungekuwa mbali zaidi, nampongeza saaana Bakhresa kwani ameonyesha uzalendo wa kweli kwa nchi yake sio wa Mwigulu Nchemba wa kuvaa skaf ya Bendela ya taifa huku uzalendo wake kwa taifa hili ni zero.
 
hiyo pesa itarudi mara mbili yake kwake au zaidi, akili kumkichwa duniani hapa.

Amekuwa akifanya hivi siku nyingi sana, ila ubaya wake ni kuwa hayo mabehewa anakuwa ameyakodi yeye mpaka YESU atakapo rudi, Maana ni mwendo wa kupeleka mizigo yake tu, ukienda wewe hupati behewa.
 
hii ni kashfa

atakua tayari kupindisha mambo

serikali sio kamati ya harusi, this is wrong
 
Back
Top Bottom