mi natamanije kujua sasa!ha haaa, anajikuna kwa kubipu......
kistaarabu mbele za watu.....
huko PM sijui kunasemaje!:faint:
akikupa pasiwedi mi ntakuwa nasubiri umbea toka kwako, naamini hawezi kutupa pasiwedi wote wawili.....mi natamanije kujua sasa!
kwani kumfanyia umbea teja mwendhio kubaya!?eti dada mkubwa BAK enh naombepo pasiswedi yako bana!
akikupa pasiwedi mi ntakuwa nasubiri umbea toka kwako, naamini hawezi kutupa pasiwedi wote wawili.....
komaa naye akupe ili na mimi nipate huo umbea
ha haa, mdomo ulikiponza kichwa... :tape:ah sa na we umesemaje tena kuwa ntakupamo huo umbea!
bak mwaya mi hata sitampa huo umbea
we dada mkubwa una wasiwasi gani!we tuliaakinipa mi nakuambimo nimekutamo nini!sasa mi nikikunyima nikampe nani?
we banish ban!
ha haa, mdomo ulikiponza kichwa... :tape:
afu wewe nimekuambia tukutane sehemu hujasikia?
tusilaumiane ujue
ha haaa, mamaa wa kufanya kazi kwenye deadline, lol!tuliza moyo mamaaa!
kwani leo si ni jumatatu tar 22!
mi ndo dogo lako bana!
oh!
ha haaa, mamaa wa kufanya kazi kwenye deadline, lol!
kumbuka mimi ndo dada mkubwa originale.....I HATE YOU kwa kunijua kiasi hiki!
lol!
Waswahili wanasema mganga hajigangi
Ngoja nimshereheshee BAK maana mwenyewe hawezi kwa siku ya leo
"I knew I loved you before I met you
I think I dreamed you into life
ahahahahaahah kwa hili na wewe ni LIFE SAVER asee!Waswahili wanasema mganga hajigangi
Ngoja nimshereheshee BAK maana mwenyewe hawezi kwa siku ya leo
"I knew I loved you before I met you
I think I dreamed you into life