Bak upo wapi nikuone,roho yangu itulie?

Ha ha ha ha ha, mzungu kanisababisha saa hivi nimekuwa hotel ya mtu

Nanyonyesha mwaya, subiri mtoto akue

Kongosho naye enzi hizo alikuwa my favourite movie, lakini naye alipopata kale ka jamaa ka kizungu kwisha habari yake kawa kama Sister Teresita
 
Mbona hatushirikishani baraka best? Muambie mzungu aje anyonye kwangu asije akabemenda mtoto lol.

Afu nimekuona leo kulee mitaa ya kwetu.
Ha ha ha ha ha, mzungu kanisababisha saa hivi nimekuwa hotel ya mtu

Nanyonyesha mwaya, subiri mtoto akue
 
Ha ha ha ha ha, mzungu kanisababisha saa hivi nimekuwa hotel ya mtu

Nanyonyesha mwaya, subiri mtoto akue
Dah nilimuona mtoto wako siku moja anachekaaa anasema "So if i cry i get boobie............wow! Interesting"
 
we jiongeleshe tu hapa!
Partner, wajua akilini mwangu na moyoni mwangu,
Hakiingii kingine, zaidi yako wangu,
Kongosho si wangu, yeye wake mzungu,
Usihamaki ukaumia, ukaja ntia machungu,
 
BAK ana bahati ya mtende, mbona hili jitu linapendwa sana hapa Jf
 
He he he he, huwezi hata nikadiria

Siku hizi navaa baibui na ninja ili nisionekane
Nadoeaje futari.

Mbona hatushirikishani baraka best? Muambie mzungu aje anyonye kwangu asije akabemenda mtoto lol.

Afu nimekuona leo kulee mitaa ya kwetu.
 
unammunyamunya, looo
nakumbuka kuna wakati ulikuwa unamsasalia BAK
unajibandika kwenye plate number ya gari yake, looh
uliishia wapi.
Nimeachia wapi? Yule namla kama karanga, taratibu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Yule mwenye meno 32? Au huyu tusilesi?
Huyo huyo TUSILESI, yule meno thelethini na nje yote mbili tusilesi alikuwa anamsema pembeni "I saw Dad and Mom last night..........I Think H e was Stealing my Milk"
 
LoL!! Mamndenyi, πŸ™‚πŸ™‚ Kongosho anadai ananyonyesha mzungu lakini hakuwa specific anamnyonyesha nini!? πŸ™‚πŸ™‚

unammunyamunya, looo
nakumbuka kuna wakati ulikuwa unamsasalia BAK
unajibandika kwenye plate number ya gari yake, looh
uliishia wapi.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…