Toria
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 1,177
- 699
Yuko YouTube anakutafutia dedikesheni
Kwa kuonesha umahiri wake leo atadondosha verse zake mwenyewe,ngoja tuone
Yuko YouTube anakutafutia dedikesheni
kusema wazi kunahitaji ujasiri, lol!Mmh, I see
Kajitahidi kuficha ujumbe
Nilitamani asme wazi
kusema wazi kunahitaji ujasiri, lol!
ila hata hapo naona ujumbe umefika
umeona eeehhh!Kanikumbusha mbali 'milima haikutani, binadamu hukutana'
Siku ikifika naomba na mie anialike jamani, nitakaa nje tena kimya
Yaani sijui kama nitaeleweka bila kuleta madhara humu..ni kwamba kwa kipindi kirefu kidogo tangu nijiunge humu pamoja na kwamba wengi ni wakalimu na wenye upendo,ila naomba leo special appreciation imfikie MR BAK!
Yani pamoja na kwamba wengi humu hatujuani wala kufahamiana ila moyo wangu unakuwa na ile shauku ya angalau nimuone na kumshukuru kama si kumuona tu!
Nasema ivyo kwa sababu nyingi tu chache ni kwamba kaka huyu ni mwelewa hata ungekuwa na shida kiasi gani kuhusu ushauri ni wa kwanza kukufariji!pale wengine watakapokuponda nakukutenga ama kukukatisha tamaa yeye atauunganisha na wibo wa kufariji..sasa basi yote hayo si kwangu tu ninyi ni mashahidi amekuwa mfariji mkuu humu....watu huwa hawajui roho nzuri ya mtu huonekana hata kwa maandishi na hisia zake kwa jambo linalomkuta mtu!
Sasa sijui kama kuna siku naweza kumuona basi hata nikishindwa picha yake itanitosha walau numuone
Thankyou so much for your kindness and hospitality along the way! you are a life saver!
Kwa kuonesha umahiri wake leo atadondosha verse zake mwenyewe,ngoja tuone
ha haaa, anajikuna kwa kubipu......BAK hapa atakuja saa nane usikuuuuuu!
aanze tu kujibu mkiwa macho kodo hiv!
halafu Fixed Point umeona ilivo kazi kujikuna upele wako mwenywe enh!?
angekuwa ametajwa mtu mwingine hapa BAK angeshawekamo ka wimbo ka kumpa moyo anayemtafuta na kuhumiza anayetafutwa akuje!
ahahahhahahhahah lakini sa hiz kanyuuut kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
daadeki!
wapi BAK a.k.a LIFE SAVER!
umesoma between the line Kongosho?
huoni dua hilo la kumwomba Mola?
ni wachache wanaweza tamka direct come this way...
cc. Asprin
leo hakyamama hatoi wimbo wowote hata umwambia mabata madogo madogo leo hatoi!