Bajeti yaanza kuuma: Vifurushi vya voda bei juu!

Bajeti yaanza kuuma: Vifurushi vya voda bei juu!

matubara

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
226
Reaction score
90
Wadau maumivu yameanza. Mtaona kuanzia leo vifurushi vya internet voda vimepanda hadi kwa asilimia 25!
 
TTCL BROADBAND IMEPANDA KWA VIWANGO HIVI...



[TD="class: xl68, width: 90"] 10,000.00 [/TD]
[TD="class: xl68, width: 111"] imepanda hadi [/TD]
[TD="class: xl69, width: 87"] 11,450.00 [/TD]
[TD="class: xl70, width: 64, align: right"]15%[/TD]

[TD="class: xl68"] 30,000.00 [/TD]
[TD="class: xl68"] imepanda hadi [/TD]
[TD="class: xl69"] 34,350.00 [/TD]
[TD="class: xl70, align: right"]15%[/TD]

[TD="class: xl68"] 60,000.00 [/TD]
[TD="class: xl68"] imepanda hadi [/TD]
[TD="class: xl69"] 68,700.00 [/TD]
[TD="class: xl70, align: right"]15%[/TD]

[TD="class: xl68"] 360,000.00 [/TD]
[TD="class: xl68"] imepanda hadi [/TD]
[TD="class: xl69"] 412,200.00 [/TD]
[TD="class: xl70, align: right"]15%[/TD]

[TD="class: xl68"] 450,000.00 [/TD]
[TD="class: xl68"] imepanda hadi [/TD]
[TD="class: xl69"] 515,250.00 [/TD]
[TD="class: xl70, align: right"]15%[/TD]

[TD="class: xl68"] 1,000,000.00 [/TD]
[TD="class: xl68"] imepanda hadi [/TD]
[TD="class: xl69"] 1,145,000.00 [/TD]
[TD="class: xl70, align: right"]15%[/TD]
 
Kifurushi cha voda cha wiki kimepanda toka 10,000 hadi 12,500 sawa na 25%!
 
Lengo ni kupunguza mawasiliano kama walivyofanya kwa kuleta ving'amuzi na kupunguza idadi ya watazamaji televisheni au lengo la hii serikali ni nini hasa?
 
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Wako very happy now......
 
Sisi tunaotoa huduma za MPESA meseji haziishi kuwa Commission itapungua, TIGO nao wametuma kwamba watakata 10percent ya Commission ya mwezi,,,Mh huu utawala kweli unatula,,,,mwisho wake ni 2015,,,bora CHADEMA ijichukulie nchi tujue pesa inakatwa lakini maendeleo yanaonekana, sasa hapa kuna wajanja wachache wanafaidi,,,mh CCM inakufa vibaya kama ni uzee basi inazeeka vibaya

CHAGUA CHADEMA 2015
 
Serikali sikivu ya ccm iyooooooooooooo
maisha bora kwa kila mtanzania
 
Hata vifurushi vya mtandao vya Airtel navyo bei juu!.
 
Hata vifurushi vya mtandao vya Airtel navyo bei juu!.

Wamepandisha kutoka shilingi ngapi hadi shilingi ngapi ili tujue namna ya kupanga bajeti kwa kujibana zaidi?
 
Aisee noma me naunga cheka leo mbona balaa cheka nayo bei juu ya mia3 nw mia4 . Hii serikali n munoma mathee . Hv umejiuliza 2020 nauli ya dar to arusha itakuw sh ngap ? Gharama za maisha haziendani na hali ya maisha kabisaa
 
Njoo huku kwa Paje tule raha ati!
Kuna wakati hata kufuta emails nilikuwa naogopa ili bando zisiishe, sasa hivi kila software nimeweka 'automatic daily update' modem hakuna kuvizia mteremko aka- kufungua web page na kisha ku-disconect modem!

Paje oyeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Lengo ni kupunguza mawasiliano kama walivyofanya kwa kuleta ving'amuzi na kupunguza idadi ya watazamaji televisheni au lengo la hii serikali ni nini hasa?

Lengo la serikali ni kukufanya uendelee kula mlo mmoja kwa siku na ikiwezekana ufe kabisa na kupotea katika sura ya Tanzania! Inashangaza vyanzo vyote vikuu vya kodi haviguswi! Kama kweli mimi na wewe ni sehemu ya serikali kama baadhi ya watu wanavyosema,basi wale waliopewa ridhaa ya kutuongoza wangetusikiliza na kuvijali vilio vyetu kwa kuondoa misamaha ya kodi kwa wote waliopewa misamaha hiyo na kuanza kulipa kodi mara moja! Kuna wawekezaji wengine wana malimbikizo ya kodi ya muda mrefu lakini ufuatiliaji wake ni wa mwendo wa konokono!
 
Back
Top Bottom