Gharama za kimaisha kwa ujumla hazifanani kabisaa na kipato cha mwananchi kwa ujumla, nyanja zote, chakula,mavazi,nauli,vifaa vya ujenzi n.k, sasa kwa hali hii msemo wa maisha bora kwa kila mTZ sijui utatimia vp yan!! Naona serikali inashawishi tena kwa lazima wananchi wake wazidi kuwa wezi,majambazi na kila namna ya kupata fedha za ziada kumudu maisha haya, kwa maana kiukweli kipato cha halali kwa wananchi wengi kwa ujumla wetu hakitoshi kabisaa, ule, umiliki mke,usomeshe ujenge makazi yako na bado umudu maisha na gharama zake ni ngumu kabisa bila kuforce kipato kwa namna yoyote ile. ANGALIENI NYIE WENYE MAMLAKA JAMANI MTATUUA MAPEMA NAMASTRESS YA KIMAISHA NAMNA HII!!,yaani mpaka maharage sasa ni anasa!!