APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,285 Reaction score 12,620 Feb 14, 2020 #21 Chai chapati mbili asubuhi- 500 Ugali dagaa mchana -1,000 Nauli 300 kwenda 300 kurudi 600 Wali maharage usiku 1,000 Ganja ya jero, embassy 2 1,000 Bando la internet MB 300 500 4,600
Chai chapati mbili asubuhi- 500 Ugali dagaa mchana -1,000 Nauli 300 kwenda 300 kurudi 600 Wali maharage usiku 1,000 Ganja ya jero, embassy 2 1,000 Bando la internet MB 300 500 4,600
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,452 Reaction score 21,544 Feb 14, 2020 #22 Mtu umeambiwa iwe budget ya chakula halafu unaweka mambo ya nauli, bundle etc ili iweje? Wabongo bado sana kwenye kuelewa maswali na kujibu wanachoulizwa!
Mtu umeambiwa iwe budget ya chakula halafu unaweka mambo ya nauli, bundle etc ili iweje? Wabongo bado sana kwenye kuelewa maswali na kujibu wanachoulizwa!