Bajeti ya Serikali 2008/09 - Exclusive Thread

MWK Nimeanzisha thread ya kuomba msaada kutoka kwa viongozi wetu wa dini kwani TAIFA LA MUNGU LINAELEKEA KUANGAMIA!

Ni watu wasio na uwezo wa kufikiri ndio wanaweka matumaini yao kwa binadamu wenzao (viongozi wa dini). Mimi naamini watanzania wanaweza kufanya kazi zao bila kuongozwa na muingilio wowote wa viongozi wa dini.

Katika hili mkuu, endelea tu lakini mimi sina imani na viongozi wa dini ila nina imani kwa MUNGU. Viongozi wa dini ni kama binadamu yeyote na wengi wao ni mafisadi tu.
 
Ni watu wasio na uwezo wa kufikiri ndio wawaweka matumaini yao kwa binadamu wenzao (viongozi wa dini). Mimi naamini watanzania wanaweza kufanya kazi zao bila kuongozwa au muingilio wowote wa viongozi wa dini.

Katika hili mkuu, endelea tu lakini mimi sina imani na viongozi wa dini ila nina imani kwa MUNGU. Viongozi wa dini ni kama binadamu yeyote na wengi wao ni mafisadi tu.

Ni muhimu sana kwa watanzania kuwaendea viongozi wao wa dini kuomba msaada wa kiroho na kisaikolojia na kimawazo kama ambavyo wamekuwa wakiwaendea na kuwaeleza matatizo yao ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababishwa na MAFISADI... na maombi yaanzishwe TAIFA ZIMA BILA KUJALI DINI!

HUU NI WAKATI WA MUNGU ALIOULETA KWETU.

Sina maana ya viongozi wa dini waingilie uongozi..La hasha.

Nawakumbishia majukumu yao ambayo mitume wote kuanzia Yesu Kristo pamoja na Muhammad walisimamia...HAKI KWA MNYONGE!

Yesu aliwapinga mafisadi kwa nguvu zote...Kuanzia mafarisayo na watoza kodi mafisadi!

We unafikiri waumini hawalalamiki kuhusu ugumu wa maisha na ufisadi huko misikitini na makanisani?

CCM BYE BYE..Wapinzani bado hawajaonyesha nia ya kweli...Sasa hapa ni MUNGU TU KWA KUPITIA WATU WAKE!

WATANZANIA MUWASIKILIZE VIONGOZI WENU WA KIROHO...HAO MUNGU ATAWATUMIA KAMA WAKIJA PAMOJA BILA KUJALI UISLAM,UHINDU,UKRISTO NK.
__________________
 
Watu waende kwa MUNGU na sio viongozi wa dini
 
Watu waende kwa MUNGU na sio viongozi wa dini

Vingozi wa dini watawapa miongozo ya mapambanuo.
Hatutaki tena habari za kina hawa na wale wanaotuchanganya.
MWK Ipersonally believe kuwa huu ni WAKATI WA MUNGU NA TULIZALIWA KWA SABABU MAALUM!
 
Vingozi wa dini watawapa miongozo ya mapambanuo.
Hatutaki tena habari za kina hawa na wale wanaotuchanganya.
MWK Ipersonally believe kuwa huu ni WAKATI WA MUNGU NA TULIZALIWA KWA SABABU MAALUM!

Hao viongozi wa dini ndio watakupoteza kabisaaaaaaa! Watu waende kwa MUNGU moja kwa moja na sio kupitia kwa upande wa tatu. Na kama wewe kuna kitu unaweza kufanya sasa hivi mkuu basi huu ni wakati wako mwafaka wa kuonesha cheche zako na kuachana na kuongea tu bila vitendo kama wanasiasa wetu
 
Usitake nianze mambo ya EPA hapa..Bank M nk...Maana unaelewa ripoti iko hapa.
Ama labda kuje taarifa kuwa ili yo leak ni tofauti...Lakini ushaidi wote upo!
 
Unataka kusema kile ninachokifahamu tayari au una habari mpya? Kama una habari mpya mkuu wewe sema tu ilimradi inahusiana na kile tunachoongelea sasa hivi kwenye hii thread.

MWK Ushahidi wa serikali ya CCM kuchota pesa za wanyonge za EPA...UPO!
Na ndio maana hakuna wa kumkamata mwenzake.
Haya sasa basi..Kama wewe husemi ccm bai bai kama hii thread inavyosema...Then anzisha ya kwako yenye kusema ccm ni safi na ipigiwe kura 2010.
 
MWK Ushahidi wa serikali ya CCM kuchota pesa za wanyonge za EPA...UPO!Na ndio maana hakuna wa kumkamata mwenzake.

Una hakika kuwa sikujua kuhusu huu ushahidi hadi ulivyoniambia leo hii?

Haya sasa basi..Kama wewe husemi ccm bai bai kama hii thread navyosema...Then anzisha ya kwako yeyye kusema ccm ni safi na ipigiwe kura 2010.

Unadhani nikitaka ccm ambayo nimepigana nayo muda mwingi wa maisha yangu hapa JF ipigiwe kura mwaka 2010 ni lazima nianzishe thread ya kufanya hivyo? Je unafikiri tofauti yako na mimi kwenye hii thread ni ipi (kama ipo)?
 
Una hakika kuwa sikujua kuhusu huu ushahidi hadi ulivyoniambia leo hii?

Unadhani nikitaka ccm ambayo nimepigana nayo muda mwingi wa maisha yangu hapa JF ipigiwe kura mwaka 2010 ni lazima nianzishe thread ya kufanya hivyo? Je unafikiri tofauti yako na mimi kwenye hii thread ni ipi (kama ipo)?

AWAKAMATE WAMILIKI WOTE WA BANK M...Kina Sanjay Kumar,

K Bhasker Narayan, Noble Azania Investments ltd,Napster Group Incorp. Inayomilikiwa na ndugu za Ballali pamoja na wanasiasa wengine.

Sunjay Mehta na Vimal Mehta ambao ni kaka na kisheria tayari hiyo Bank M ilitakiwa iangaliwe kwani ni MAFisadi!

Allied & Equity Gen.Zen Advertising, BV holdings ltd,V&B Assoc ltd, New Malallaln mining co ltd, Navy cutt tobbaco ltd, Bora Apts, Noble motors ltd, Noble Azania grp
 
Huyu unayemsema kuwa awakamate wamiliki wa Bank M ni nani?
 
Tatizo la Tanzania ni Nchi kuendeshwa kishikina ndio sababu kuuu.

Hao wanaojidai eti kuwaambia viongozi wangefanya hivi ama vile wanapoteza mda.

Mtu hawezi fanya mambo yaliyo nje ya Imani yake.Na ikitokea hivyo basi atajuta kwanini kafanya vile.

Ushirikana si Upendo ,mshirikina hawezi fanya mambo ya upendo maana si imani yake ikitokea atagonga kifua kujutia tendo hilo.

Mpendo hawezi fanya mambo ya kishirikina ikitokea atagonga kifua kujutua hilo.

Mpendo akimfanyia tendo la kipendo ndugu yake nafsi hufunuka kujisikia raha nafsi akiamini kajiwekea hazina njema.

Mshirikina akifanya jambo mbaya nafsi yake hufurahia maana anaamini kajiwekea hazina yake.

Msidhani kupiga kelele kwenu kunawasononesha washirika bali kunawafurahisha na kujivunia jinsi gani wamefanikisha na kuwapa guvu zaidi za kuendelea na ushirikina wao.
 
Huyu unayemsema kuwa awakamate wamiliki wa Bank M ni nani?

Na ndio maana ccm BAI BAI Hakuna MAFISADI HUMO MWENYEKITI KESHASEMA...ZIDUMU FIKRA ZAKE SAHIHI UNAZOZIKUMBATIA!
HII NCHI INAMILIKIWA NA MAKAMPUNI?
MMETAFSIRI UBEPARI VIBAYA KWENYE ARDHI YETU YA MUNGU!
MMEJICHAGULIA NJIA YA UOVU.
MKAE KANDO.
WE WANT OUR COUNTRY BACK...AND WE WANT IT NOW!
 
Narudia tena hili swali ili ulijibu vizuri, ni nani unayetaka awakamate uliowataja?
 
narudia Tena Hili Swali Ili Ulijibu Vizuri, Ni Nani Unayetaka Awakamate Uliowataja?

Nani Ajikamate?
KINA MWEMA WALISHAWEKA WAZI...Sasa wewe MWK kule kwenye thread ya upinzani wapewe nafasi umekiri kuwa CCM haiwezi kushinda kwa kishindo kwasababu ya EPA..And then unageuka unampigia kifua mama Killango wa CCM anayefuata amri ya mwenyekiti wao aliyesema wazi kuwa ccm hakuna mafisadi na lowassa ni poa tu!
Tena kuna rumours atagombea urahisi.
Sasa uko kundi gani?
 
Nani Ajikamate?
kINA MWEMA WALISHAWEKA WAZI...

Sasa wewe MWK kule kwenye thread ya upinzani wapewe nafasi umekiri kuwa CCM haiwezi kushinda kwa kishindo kwasababu ya EPA..And then unageuka unampigia kifua mama Killango wa CCM anayefuata amri ya mwenyekiti wao aliyesema wazi kuwa ccm hakuna mafisadi na lowassa ni poa tu!
Tena kuna rumrours atagombea urahisi.
Sasa uko kundi gani?

Uliambiwa na nani kuwa kama mtu ukiwa upinzani huwezi kusema mazuri ambayo yanafanywa na wana ccm? Wewe unadhani bila ya wana ccm hii miziki yote iliyowekwa humu jamvini ilivujishwa na nani toka serikalini.

Mimi kama kuna mtu anafanya kazi nzuri Tanzania atapata support yangu hapa hata kama mtu huyo ni mwanaccm. Wapinzani wengi wako nje ya serikali na hawawezi kupata kila kitu kinachoendelea huko.

Kumbuka kuwa hapa hatupiganii vyama mkuu bali masilahi ya nchi yetu. Mtu yeyote anayepigania masilahi ya nchi yetu anapata support hapa JF kama kawa - awe mpinzani au mwana ccm.
 
Kikwete Kama Mwenyekiti Wa Ccm Iliyochota Pesa Za EPA Ni Fisadi Asiyeweza Kujikamata...happy Now?

Kumbe wewe unasubiri Kikwete akamate mafisadi?

Utasubiria hili mkuu hadi uchoke.... soma signature yangu uone movement yangu niliyoanzisha. Sioni kuwa hata nikisubiria miaka kumi kama kuna yeyote yule atakamatwa.
 
Nimesema HAWEZI KUJIKAMATA YEYE MWENYEWE FISADI.
Mbona unatwist?
 
Back
Top Bottom