mambo ya kawaida sana hapa nchini kwetu,na security watakuwa polisi wenyewe.....utaniambia
wana jf nilikuwa nimekaa karibu na mjumbe wa kamati ya maandalizi ya harusi ya mtoto wa Kova, anasema kova iko pesa imeandaliwa milioni 100 kwa ajili ya harusi hiyo na wamealikwa vigogo akiwemo na rais Kikwete kwenye harusi hiyo mpaka nimeshangaa kwa mtumishi kama Kova hiyo harusi kughalimu milioni 100. Katoa wapi hizo pesa hata kama ni michango je inaweza fika milioni mia moja kughalamia hiyo harusi...
Kazi kweli kweli
mbona itafika
JK milioni 13
Mwema milioni 12
Manumba milioni 9
Nchimbi milioni 10
Nahodha milioni 5
ma RPC 25 kila mmoja milioni 4
said mecky sadic milioni 5
kimbisa milioni 5
masaburi milioni 5
wabunge wa dar kila mmoja milioni 2
mwamunyange milioni 3
ccm dar milioni 1
endelezeni list jamani...
mbona itafika
JK milioni 13
Mwema milioni 12
Manumba milioni 9
Nchimbi milioni 10
Nahodha milioni 5
ma RPC 25 kila mmoja milioni 4
said mecky sadic milioni 5
kimbisa milioni 5
masaburi milioni 5
wabunge wa dar kila mmoja milioni 2
mwamunyange milioni 3
ccm dar milioni 1
endelezeni list jamani...
we nawe! kila thread utakayochangia lazima uandike HAYATUHUSU! hebu tujulishe yanayokuhusu basi na sisi tuchangie huko! mmmhhhh wasi-ligalize :majani7:, hii makitu na mbaya sana kabla hujala!Hayatuhusu.
we nawe! kila thread utakayochangia lazima uandike HATATUHUSU! hebu tujulishe yanayokuhusu basi na sisi tuchangie huko! mmmhhhh wasi-ligalize :majani7:, hii makitu na mbaya sana kabla hujala!