Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

Inside Mkulo`s hefty budget
Staff Writer
As Tanzanians enthusiastically await the tabling of the 2009/10 budget amid the deepening global economic crisis, hopes may already be dampening, as even with a 32 percent increase in the budget, the government has still allocated only peanuts to development expenditure, The Guardian on Sunday has established.

However, in education there will be a relief as the sector receives about Sh1.74trillion-a 24percent increment compared to last year’s allotment.

Since he took over as president in 2005, Jakaya Kikwete has nearly doubled the education funding which in 2006 fetched Sh777.2 billion, although the main challenge is how much of that amount really goes to the targeted people.

With teachers several times threatening to strike due to the government’s failure to settle their pending dues on time, as well as the growing pressure from university students who want the government to give them full loans, the increment in education budget during 2009/10 could ease the looming threats.

But, according to the latest budget details from Finance Minister Mustafa Mkulo’s office, even though this year’s budget of Sh9.51trn ($7.3bn) marks a 32 percent increase from last year’s budget, only 29 percent of the budget will be devoted to development, a four percent cut from last year’s allotment.

In 2008/09 the government tabled a Sh7.2trn budget, with Sh2.4trn, or 33percent, allocated for development expenditure, which covers infrastructure projects, poverty reduction measures and investment in human resource development areas like education.

Even with this year’s massive Sh9.51trn budget, only Sh2.2trn has been allocated for development expenditure, marking a decrease not only in the portion of the budget that development takes up, but also in the actual value of that portion.

As the government cuts down on development expenditure, it has noticeably upped its recurrent expenditure, by Sh1.99trn to Sh6.69trn - or 42 percent of the budget.

While development expenditure is exclusive to funding projects on the ground, recurrent expenditure is used for government operational costs, which can range from government salaries to ministries’ individual budgets.

The new budget demonstrates that the tactics with which the government has pledged to deal with the country’s pervasive poverty, crumbling infrastructure and widespread unemployment may not reflect the priorities it has chosen to highlight in practice.

Since President Kikwete took over as the fourth president in December 2005 his government has struggled to make good on promises made during the campaign period, including the blanket slogan ‘A better life for all Tanzanians’.

Between 2006 and 2008, Kikwete’s government has allocated an average of 34 percent of its budget to development expenditure, making this year’s budget the lowest allocation for development percentage-wise throughout Kikwete’s term in office.

In 2006/07, the government presented a Sh4.8trn budget with 1.7trn, or 35 percent, going toward development expenditure. In 2007/08, the country’s budget was Sh6.067trn, of which Sh2.2trn or 36 percent was allocated for development expenditure.

Mkulo has described the new budget as ‘the agriculture first budget’ indicating that it would give priority to the sector that has suffered most from the global recession.

A section of MPs, including those from the ruling party, have already threatened to block this year’s budget because they say Mkulo and other top officials have unfairly allocated resources for developing their home districts and because they say the budget is not development-oriented enough overall.

Another looming hitch for Mkulo’s budget will be how to draw in the anticipated Sh5.1trn in domestic revenue, which will make up 16.4 percent of the country’s Gross Domestic Product.

With the Tanzania Revenue Authority reporting a sharp fall in tax collection due to the worsening global crisis, it is not clear how the finance minister will manage to collect the Sh5.1trn he is counting on for the budget.

Import and export business has declined dramatically by 40 percent over the past six months due to the ongoing global credit crunch. The situation has reduced the government’s targeted revenues of Sh4.73trn by over 10percent.

GUARDIAN ON SUNDAY
 
Tatizo kubwa ni hili: Kwa nini tuiamini bajeti? Ni chombo gani kinahakiki utekelezaji wake? Nchi nyingi zina vitengo, vya kikatiba, vya kuhakiki bajeti, lakini Tanzania hatuna (kwa makusudi).

Ni rahisi kusema ELIMU imetengewa 1.7 trn/- wakati unafahamu utatumia nusu ya fedha hizo kwa shughuli zako nyingine.

Ziko tetesi kwamba kila mwaka, zaidi ya nusu ya fedha zote za bajeti hubakizwa Hazina kwa matumizi ya kimya kimya.

Kwa hali iliyoko, Bajeti ya Tanzania ni usanii mtupu. Faida yake ya pekee ni kufahamu kodi zitakuwaje.
 
Salim Said

SIKU chache baada ya baadhi ya wabunge kumshutumu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo kuwa amejipendelea katika bajeti ya serikali ya 2009/2010, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk. Benson Bana amewashangaa wabunge hao na kudai wamekosa elimu ya mchakato wa bajeti.

Aidha alisema, wabunge hao wanaupotosha umma na kumvunjia heshima Waziri Mkulo, kwa kuwa suala la kuandaa bajeti ni la kitaalamu na wala si la kisiasa.

Juzi, wabunge walimtuhumu Mkulo na kumpa onyo kali kuwa wataipinga bajeti hiyo bungeni na kuandika historia kwa bunge kuvunjwa kama haitafanyiwa marekebisho.

Mbunge Anthony Diallo (CCM-Ilemela), ndiye aliyeweka msimamo akimtahadharisha Waziri Mkulo kwamba bajeti hiyo kama ilivyo katika mwelekeo, haitaweza kupita bungeni na kuonya kuwa inaweza kuandika historia kwa bunge kuvunjwa.

"Ukiangalia, karibu Sh100 bilioni ni barabara zile. Utakuta ni Morogoro, Dares Salaam na Iringa. Nasema kwa mara ya kwanza bunge linaweza kuvunjwa," alionya Diallo kabla ya kubeba mkoba wake na kuondoka.

Naye mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni alionya bajeti hiyo inaweza kuigawa nchi kutokana na kuruhusu maendeleo makubwa katika baadhi ya maeneo huku mengine yakiwa na umasikini wa kutisha.

Dk Chegeni alifafanua kwamba, kitendo cha kukarabati barabara ya lami kati ya Chalinze-Segera-Tanga, hiana mantiki wakati kuna maeneo hayana kabisa miundombinu ya lami.

Bajeti hiyo ina mwelekeo wa kukusanya Sh9.5 trilioni ambazo kati ya hizo, Sh5.1 trilioni ni mapato ya ndani, Sh3.2 trilioni ni misaada na mikopo kutoka kwa wahisani na Sh1.2 trilioni, ni mapato mengine, huku matumizi ya kawaida yakitarajiwa kuwa Sh6.7 trilioni na maendeleo Sh2.8 trilioni.

Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano maalum ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Dk. Bana alisema wabunge hao wanakosa elimu ya mchakato wa kuandaa bajeti.

"Suala la uandaaji wa bajeti ni shirikishi, ambalo linawashirikisha wataalamu kutoka sekta mbalimbali za kiserikali, binafsi na vyombo vya habari kabla ya kupelekwa katika vikao vya makatibu wakuu na hatimaye Baraza la Mawaziri," alisema Dk. Bana na kusisitiza:

"Kupinga ni haki yao lakini bado wanaendelea kufanya maamuzi yanayokwenda kinyume na yanayoumiza maslahi na matakwa ya wapiga kura wao ikiwa ni pamoja na kujipangia mishahara minono, huku wafanyakazi wengine wakiwemo walimu wakiteseka," alisema Dk Bana.

Kuhusu mtazamo wa wabunge wengi kutangaza kuendelea kugombea kwenye majimbo yao, alisema ni dalili nyingine ya udikiteta wao na kwamba wabunge hawana budi kutambua kwamba , hakuna mtanzania hata mmoja aliyezaliwa ili awe mbunge milele.

Akizungumzia maoni yake juu ya bajeti ya mwaka huualisema inaonekana kuwa nzuri kulingana na vipaumbele vilivyowekwa lakini hofu yake ni Sh3.2 trilioni ambayo inategemewa kwa misaada na mikopo ya wahisani jambo ambalo alisema ili kuzipata linahitajika maneno mazuri.

Alipongeza juhudi za Rais Jakaya Kikwete kutembelea nchi mbalimbali na kwamba lengo la safari hizo ni kuiweka nchi katika uso wa dunia na kwamba bado mataifa tajiri wanaiamini na hivyo haitokuwa vigumu kuzipata sh 3.2 trilioni.

Source: Mwananchi
 
Mimi nafikiri wanachopinga wabunge ni allocation ya resources na sio bajeti yenyewe.Kwa mantiki hiyo simuelewi huyo Dr anachojaribu kukieleza kwenye nakala hiyo
 
Ndg. Yangu Dr. Slaa,

Kama kipaumbele ni kutenga hela tu bila kuweka hata matayarisho ya hizo hela zitumike vipi then I'm lost.

Kwa mfano isingekuwa busara kutenga fedha za kilimo kwa ongezeko la 100% yet ukijua kwamba bado actual kilimo kinafanywa na sekta binafsi, kazi ya serikali ni kugenga miundo mbinu na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji kwenye kilimo.

Sidahani ndani ya mwaka unaweza kufanya feasibility study, utape mjenzi wa mifereji, uweke mashamba yalimwe na yavunwe... la muhimu ni kwamba progressively hela zitengwe za kutosha kwa miaka zaidi ya mitano ijayo kwenye kilimo.

Na wewe pia usiongee kisiasa kama serikali, by the way wewe si mwanasiasa kila unalosema si siasa tu.

Ikumbukwe kwamba uwekezaji kwenye miundo mbinu kwenye maji ni sehemu ya uwekezaji kwenye kilimo!
ni kwa nini bajeti inaongezeka kila mwaka lakini utekelzaji wake unashuka kila mwaka???

je huu sio wakati mwafaka wa kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa bajeti ikawa ni jambo la msingi kufanyiwa kazi???

kwangu kukosekana ufanisi wa utekelezaji wa bajeti ni TATIZO KUBWAA SANAA KULIKOO KELELE ZA VYANZO AU UKUBWA WA BAJETI..
 
Salim Said

SIKU chache baada ya baadhi ya wabunge kumshutumu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo kuwa amejipendelea katika bajeti ya serikali ya 2009/2010, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk. Benson Bana amewashangaa wabunge hao na kudai wamekosa elimu ya mchakato wa bajeti.

Aidha alisema, wabunge hao wanaupotosha umma na kumvunjia heshima Waziri Mkulo, kwa kuwa suala la kuandaa bajeti ni la kitaalamu na wala si la kisiasa.

Juzi, wabunge walimtuhumu Mkulo na kumpa onyo kali kuwa wataipinga bajeti hiyo bungeni na kuandika historia kwa bunge kuvunjwa kama haitafanyiwa marekebisho.

Mbunge Anthony Diallo (CCM-Ilemela), ndiye aliyeweka msimamo akimtahadharisha Waziri Mkulo kwamba bajeti hiyo kama ilivyo katika mwelekeo, haitaweza kupita bungeni na kuonya kuwa inaweza kuandika historia kwa bunge kuvunjwa.

"Ukiangalia, karibu Sh100 bilioni ni barabara zile. Utakuta ni Morogoro, Dares Salaam na Iringa. Nasema kwa mara ya kwanza bunge linaweza kuvunjwa," alionya Diallo kabla ya kubeba mkoba wake na kuondoka.

Naye mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni alionya bajeti hiyo inaweza kuigawa nchi kutokana na kuruhusu maendeleo makubwa katika baadhi ya maeneo huku mengine yakiwa na umasikini wa kutisha.

Dk Chegeni alifafanua kwamba, kitendo cha kukarabati barabara ya lami kati ya Chalinze-Segera-Tanga, hiana mantiki wakati kuna maeneo hayana kabisa miundombinu ya lami.

Bajeti hiyo ina mwelekeo wa kukusanya Sh9.5 trilioni ambazo kati ya hizo, Sh5.1 trilioni ni mapato ya ndani, Sh3.2 trilioni ni misaada na mikopo kutoka kwa wahisani na Sh1.2 trilioni, ni mapato mengine, huku matumizi ya kawaida yakitarajiwa kuwa Sh6.7 trilioni na maendeleo Sh2.8 trilioni.

Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano maalum ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Dk. Bana alisema wabunge hao wanakosa elimu ya mchakato wa kuandaa bajeti.

"Suala la uandaaji wa bajeti ni shirikishi, ambalo linawashirikisha wataalamu kutoka sekta mbalimbali za kiserikali, binafsi na vyombo vya habari kabla ya kupelekwa katika vikao vya makatibu wakuu na hatimaye Baraza la Mawaziri," alisema Dk. Bana na kusisitiza:

"Kupinga ni haki yao lakini bado wanaendelea kufanya maamuzi yanayokwenda kinyume na yanayoumiza maslahi na matakwa ya wapiga kura wao ikiwa ni pamoja na kujipangia mishahara minono, huku wafanyakazi wengine wakiwemo walimu wakiteseka," alisema Dk Bana.

Kuhusu mtazamo wa wabunge wengi kutangaza kuendelea kugombea kwenye majimbo yao, alisema ni dalili nyingine ya udikiteta wao na kwamba wabunge hawana budi kutambua kwamba , hakuna mtanzania hata mmoja aliyezaliwa ili awe mbunge milele.

Akizungumzia maoni yake juu ya bajeti ya mwaka huualisema inaonekana kuwa nzuri kulingana na vipaumbele vilivyowekwa lakini hofu yake ni Sh3.2 trilioni ambayo inategemewa kwa misaada na mikopo ya wahisani jambo ambalo alisema ili kuzipata linahitajika maneno mazuri.

Alipongeza juhudi za Rais Jakaya Kikwete kutembelea nchi mbalimbali na kwamba lengo la safari hizo ni kuiweka nchi katika uso wa dunia na kwamba bado mataifa tajiri wanaiamini na hivyo haitokuwa vigumu kuzipata sh 3.2 trilioni.

Source: Mwananchi

Hiyo statement ya Dr. kusema bajeti Tanzania inahusisha wataalam mbalimbali ni just formality but most of the time imekuwa inasukumwa na upendeleo na kukosa priority kwa maeneo ambayo hayajaguswa na dev projects and that is what i think the wabunge they are complaining about! nchi sio Dar es Saalam, tanga, Moshi , Iringa tu! what about Sumbawanga na sehemu ambako hakuna hata lami ya kulink economic centres!
 
Salim Said

SIKU chache baada ya baadhi ya wabunge kumshutumu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo kuwa amejipendelea katika bajeti ya serikali ya 2009/2010, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dk. Benson Bana amewashangaa wabunge hao na kudai wamekosa elimu ya mchakato wa bajeti.

Aidha alisema, wabunge hao wanaupotosha umma na kumvunjia heshima Waziri Mkulo, kwa kuwa suala la kuandaa bajeti ni la kitaalamu na wala si la kisiasa.

Juzi, wabunge walimtuhumu Mkulo na kumpa onyo kali kuwa wataipinga bajeti hiyo bungeni na kuandika historia kwa bunge kuvunjwa kama haitafanyiwa marekebisho.

Mbunge Anthony Diallo (CCM-Ilemela), ndiye aliyeweka msimamo akimtahadharisha Waziri Mkulo kwamba bajeti hiyo kama ilivyo katika mwelekeo, haitaweza kupita bungeni na kuonya kuwa inaweza kuandika historia kwa bunge kuvunjwa.

"Ukiangalia, karibu Sh100 bilioni ni barabara zile. Utakuta ni Morogoro, Dares Salaam na Iringa. Nasema kwa mara ya kwanza bunge linaweza kuvunjwa," alionya Diallo kabla ya kubeba mkoba wake na kuondoka.

Naye mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni alionya bajeti hiyo inaweza kuigawa nchi kutokana na kuruhusu maendeleo makubwa katika baadhi ya maeneo huku mengine yakiwa na umasikini wa kutisha.

Dk Chegeni alifafanua kwamba, kitendo cha kukarabati barabara ya lami kati ya Chalinze-Segera-Tanga, hiana mantiki wakati kuna maeneo hayana kabisa miundombinu ya lami.

Bajeti hiyo ina mwelekeo wa kukusanya Sh9.5 trilioni ambazo kati ya hizo, Sh5.1 trilioni ni mapato ya ndani, Sh3.2 trilioni ni misaada na mikopo kutoka kwa wahisani na Sh1.2 trilioni, ni mapato mengine, huku matumizi ya kawaida yakitarajiwa kuwa Sh6.7 trilioni na maendeleo Sh2.8 trilioni.

Akizungumza na Mwananchi katika mahojiano maalum ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, Dk. Bana alisema wabunge hao wanakosa elimu ya mchakato wa kuandaa bajeti.

"Suala la uandaaji wa bajeti ni shirikishi, ambalo linawashirikisha wataalamu kutoka sekta mbalimbali za kiserikali, binafsi na vyombo vya habari kabla ya kupelekwa katika vikao vya makatibu wakuu na hatimaye Baraza la Mawaziri," alisema Dk. Bana na kusisitiza:

"Kupinga ni haki yao lakini bado wanaendelea kufanya maamuzi yanayokwenda kinyume na yanayoumiza maslahi na matakwa ya wapiga kura wao ikiwa ni pamoja na kujipangia mishahara minono, huku wafanyakazi wengine wakiwemo walimu wakiteseka," alisema Dk Bana.

Kuhusu mtazamo wa wabunge wengi kutangaza kuendelea kugombea kwenye majimbo yao, alisema ni dalili nyingine ya udikiteta wao na kwamba wabunge hawana budi kutambua kwamba , hakuna mtanzania hata mmoja aliyezaliwa ili awe mbunge milele.

Akizungumzia maoni yake juu ya bajeti ya mwaka huualisema inaonekana kuwa nzuri kulingana na vipaumbele vilivyowekwa lakini hofu yake ni Sh3.2 trilioni ambayo inategemewa kwa misaada na mikopo ya wahisani jambo ambalo alisema ili kuzipata linahitajika maneno mazuri.

Alipongeza juhudi za Rais Jakaya Kikwete kutembelea nchi mbalimbali na kwamba lengo la safari hizo ni kuiweka nchi katika uso wa dunia na kwamba bado mataifa tajiri wanaiamini na hivyo haitokuwa vigumu kuzipata sh 3.2 trilioni.

Source: Mwananchi

Ni bahati mbaya kuwa wahadhiri wetu wanatia mashaka, has inapokuwa mhusika, kama ilivyo kwa Dk. Benson Rugimbana, yuko kwenye harakati za kutafuta nafasi ya kugombea ubunge.
Hoja za Dk. Rugimbana ni legelege, siyo za kitaalam, hasa anapokuwa mhadhiri wa sayansi ya siasa kama yeye. Kusema kuwa bajeti siyo siasa, ni upotoshaji mkubwa. Primarily, na ninadhani Dk. Rugimbana anafahamu, Bajeti ni political document na maamuzi juu yake ni political decisions. Si vinginevyo.
Dk. Rugimbana ameanza kusaliti wananchi kabla hata hajachukua formu za CCM kuwania jimbo la Bukoba Vijijini. Pole!! Kwa kauli na mkakati huu, bora Karamagi kuliko Dk. Rugimbana, ingawa wote hawafai kuwa wabunge.
 
Dr. Bana,

Political Science & Pub. Adm!

Hope wewe ni mwanachama hapa JF!

Ni kweli hayo ndo uliyosema au umekuwa misquoted?
 
Ana make point wasimsahau kwenye teuzi za wenyeviti wa bodi wa mashirika ya umma.

In other words anasema "jamani na mimi nipo" kama hamuamini subirini...
 
Ana make point wasimsahau kwenye teuzi za wenyeviti wa bodi wa mashirika ya umma.

In other words anasema "jamani na mimi nipo" kama hamuamini subirini...
hapo ndo wasomi wanapodhalilisha usomi waoooo...

hivi ni njaa au umaskiniii??? maana elimu inakusaidia kupambana navyooo hivyoooo bila kujidhalilishaaa...
 
Mbona hakuna kinachoeleweka kutoka kwa maelezo ya huyu Dr, au ni waandishi ndio wamekosea?
 
Mimi nafikiri wanachopinga wabunge ni allocation ya resources na sio bajeti yenyewe.Kwa mantiki hiyo simuelewi huyo Dr anachojaribu kukieleza kwenye nakala hiyo

Mkuu kama humuelewi angalia hayo maneno hapo chini!!

Alipongeza juhudi za Rais Jakaya Kikwete kutembelea nchi mbalimbali na kwamba lengo la safari hizo ni kuiweka nchi katika uso wa dunia na kwamba bado mataifa tajiri wanaiamini na hivyo haitokuwa vigumu kuzipata sh 3.2 trilioni.

Hata kama huamini, njaa ni hatari kuliko mabomu ya Mbagala!!
 
Tatizo bajeti lenenyewe linatoka bila ya Mwelekeo maalum kila mwaka. its as if where do we spend this time, ndio maana malalamiko kama hayo aliyoyatoa mh. ayapo mbali na siasa ya kwetu. hila sioni sababu ya yeye kulalamika kufikia point ya kusema eti muhusika mkuu na bajeti anajipendelea vipi? tatizo akuna plan ya kusema tuanze wapi na lami na tumalizie wapi, sehemu zipewe priority kwa mujibu. kutokana na umuhimu wao wa uzalishaji na utumikaje wake wa traffic. malalamiko ya Dr.Chegeni hayana uzito zaidi ya kusema kwamba mbona kwetu amna lami yeye ndie anaetaka kujipendelea, lami kwetu ije kwa vyovyote vile, na wengine je iweje. serikali inabidi hiwe na mipango ya maendeleo na plan za kufuata hili wabunge wajue kwa sababu gani hela fulani imeenda sehemu fulani haya mambo ya kujiamulia tu si mazuri ndio maana ufanya watu wengine waone kama wanaonewa.

Mungu Ibariki Tanznania
 
Date::6/8/2009
Bunge la bajeti lafupishwa Kikwete kuhutubia wazee, wabunge

Tausi Mbowe na Habel Chidawali, Dodoma
Mwananchi

MKUTANO wa 16 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano unaotarajiwa kuanza mjini Dodoma leo umekatwa panga kutoka miezi mitatu hadi mwezi mmoja na majuma matatu.

Hatua hiyo inaelezwa kuwa ni sehemu ya mikakati ya serikali katika kupunguza matumizi huku wachunguzi wa masuala ya siasa na uchumi wakisema kuwa hatua hiyo inasababishwa na mtikisiko wa uchumi unaoendelea kuikumba dunia.

Ratiba iliyotolewa jana na kitengo cha habari cha Bunge inaonyesha kuwa mkutano huo unatarajiwa kumalizika Julai 31 wakati mjadala kuhusu hotuba ya bajeti utakuwa wa siku tatu kuanzia Juni 15 hadi 17.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo iliyotolewa na Afisa Habari Mkuu wa Bunge, Ernest Zullu mjadala wa makadirio ya wizara mbalimbali utafanyika kuanzia Juni 18 hadi Julai 27.

Wakati ratiba hiyo ikionyesha idadi ya siku za vikao hivyo kupungua kesho Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwahutubia wabunge wote na wazee wa mkoa wa Dodoma katika ukumbi wa Kilimani mjini hapa baada ya kipindi cha maswali na majibu.

Awali ratiba iliyotolewa na kitengo cha habari cha Bunge ilionyesha kuwa Rais Kikwete angelihutubia Bunge kabla ya ratiba hiyo kubadilishwa jioni na kuonyesha kuwa Rais atawahutubia wazee na wabunge wote.

Wachunguzi wa masuala ya siasa wanasema kuwa hatua ya Rais Kikwete kuwahutubia wabunge imekuja kuinusuru bajeti hiyo ya serikali baada ya baadhi yao kukaririwa na vyombo vya habari kuwa hawatakuwa tayari kuipitisha bajeti hiyo kwa sababu imependelea baadhi ya maeneo na kuyasahau maeneo mengine.

Wabunge waliokaririwa na vyombo vya habari walionyesha wazi kutoridhishwa na mwelekeo wa bajeti hiyo na tayari baadhi yao walimtahadharisha Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkullo iwapo hataibadilisha bajeti hiyo basi hawataipitisha.

Wabunge wengi kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kusini walikaririwa wakisema kuwa bajeti hiyo haina tija katika majimbo yao na kwamba imelenga zaidi katika majimbo ya mawaziri huku wabunge wakiachwa mbali.

Onyo hilo limekuja baada ya Waziri Mkulo kuwasilisha sura au mwelekeo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2009/2010, mbele ya Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi, ambayo inatarajiwa kuwa ya Sh9.5trilioni ikilinganishwa na Sh7.3 trilioni za mwaka 2008/09.

Mwelekeo huo wa bajeti ya 2009/2010, unaonyesha serikali inatarajia kukusanya Sh9.5 trilioni ambazo kati ya hizo, Sh5.1 trilioni ni mapato ya ndani, Sh3.2 trilioni ni misaada na mikopo kutoka kwa wahisani na Sh1.2 trilioni, ni mapato mengine, huku matumizi ya kawaida yakitarajiwa kuwa Sh6.7 trilioni na maendeleo Sh2.8 trilioni.

Wabunge kutoka kamati mbalimbali nje ya Fedha na Uchumi, pamoja na baadhi ambao ni wajumbe wa kamati hiyo, walianza kuchambua mwelekeo huo wa bajeti kwa kumwonya Mkulo mbele ya jopo la watalaamu kutoka wizara hiyo na idara zake, hasa katika kipengele cha ujenzi wa barabara na kwenda mbali zaidi kwa kusema kila waziri anajipendelea kwake, akiwemo waziri huyo wa fedha.

Kwa mujibu wa wabunge hao endapo bajeti hiyo itakuja kama ilivyo haitapita kwa kuwa watatoa shilingi.

Ratiba hiyo inaonyesha kuwa Waziri Mkullo atasoma bajeti hiyo siku moja baada ya Rais Kikwete kulihutubia bunge hotuba ambayo inaelezwa kuwa itakuwa na kila aina ya kuwapoza wabunge ambao wanaonekana kuwa moto na bajeti hiyo.

Mkutano huu pia unatarajiwa kupitisha muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Wakala wa serikali wa mwaa 2009, serikali kutoa majibu kuhusu taarifa za Kamati za kudumu za Bunge za PAC, LAAC na POC kama yatakuwepo, taarifa ya maazimio ya utekelezaji wa baadhi ya maazimio ya Bunge, taarifa za kamati ambazo zinajambo la dharura linalohitaji kuzingatiwa , hoja binafsi na uchaguzi wa Mjumbe wa SADC-PF.
 
Kweli hapa kazi ipo. naona Sasa JK anataka kuwamaliza kimya kimya
kuwamaliza kivipi kwani nao si wachaguliwa na wananchi kama yeye???

labda hawajui wajibu wao kwa waliowachaguaa na kuendekeza kujipendekeza kwa raisi!!!!!!
 
Tutaona mwisho wake,bunge la standard and speed linapopelekwa kwa maslahi ya Rais na si maslahi ya wapiga kura toka majimboni.
Hapo hakuna cha kubana matumizi wala athari za anguko la uchumi duniani,hapo ni kubana muda ili wabunge washindwe kupata nafasi ya kujadili kwa kina hiyo bajet na hatimaye waipitishe bila kupingwa.Hii ndio Bongoland bwana.wanasiasa wameshakuwa wasanii.
Kama kubana matumizi wamshauri mh rais apunguze safari za nje ya nchi.Hivi mnajua allowance anayolipwa rais anaposafiri kwa ziara za kikazi nje ya nchi? Ni ufisadi tosha,wala hana haja ya kupora rasilimali kama alivyofanya Ben Mkapa.
Wabunge wapewe muda wa kutosha kuijadili Badget na kama ni kubana matumizi basi wapunguze kiwango cha allowance za wabunge perdiem.
2*6=3*4
 
Back
Top Bottom