Rumion vipi haupati au hupendelei?Habari wakuu, kwa bajeti ya 12m naweza pata gari gani zuri la kutembelea mjini hata kama ni kutoka kwa mtu namba E;
Nltaka IST ila naona wengi wanaanzia 14.5m. Naombeni msaada wa mawazo hapa
Kwanini zimepewa jina la kibunjuSasa kama IST kibunju 14m unafikiri utapata gari ipi nzuri kwa 12m?
kweli.Hapo labda ubahatishe sana ukute mtu anashida anaweza akakuuzia gari iliyo simama vinginevyo jiandae kushikishwa mkweche na hawa madalali zetu!
chunga sana usishikishwe gari mbovu, maana kutembea unaongea pekeako barabarani wala sio mbali.kweli.
Hawezi kupata iliyosimama labda asubiri mpaka Dec 2026!!Usiwe na haraka mil 12 IST no.E unapata tena iliyosimama haina kipengere!
😂kwa bmw bora nitembee tu mkuuKuna BMW unapata 2 kwa hiyo 12M na chenji ya service 👇
Maisha yako speed.
iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
![]()
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
![]()
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya service na mafuta full tank.
Fanya maamuzi sahihi.
- Mad Max
- bila bmw bmw 3 charger cover iphone iphone 17 iphone 17 pro max pro series service unapata
- Replies: 111
- Forum: Matangazo madogo
Unapata gari aina ya bajajHabari wakuu, kwa bajeti ya 12m naweza pata gari gani zuri la kutembelea mjini hata kama ni kutoka kwa mtu namba E;
Nltaka IST ila naona wengi wanaanzia 14.5m. Naombeni msaada wa mawazo hapa
Jibu zuri sanaHapo labda ubahatishe sana ukute mtu anashida anaweza akakuuzia gari iliyo simama vinginevyo jiandae kushikishwa mkweche na hawa madalali zetu!