Bajeti ya 12m napata gari gani?

Bajeti ya 12m napata gari gani?

Habari wakuu, kwa bajeti ya 12m naweza pata gari gani zuri la kutembelea mjini hata kama ni kutoka kwa mtu namba E;

Nltaka IST ila naona wengi wanaanzia 14.5m. Naombeni msaada wa mawazo hapa
Kwa fedha hiyo unapata Mazda Verisa, ambapo ni gari karibu sawa na ist. Ukiweza kuongeza Tshs. 1m na kuwa mvumilivu, unaweza kupata used ya kuagiza kabisa japan
 
Akitangaza anataka IST kwa 12m anapata nzuri tu tena namba D
Wachaga wanapendekeza IST kama gari nzuri sana kwa mtu ambaye hajawahi kumiliki gari.
Baada ya kuimiliki hiyo kwa muda; unaweza kujichanganya kwenye magari ya mawazo kama BMW, na mengineyo....
 
Sababu ya kuuzwa bei ni nini maana leo nimeona mpaka ist 20m dah
Inahitajika sana (demand). Watu walipenda muonekane wake wa ndani na nje, ipo vizuri kwenye utumizi wa mafuta na pia bodi lake ni gumu kidogo (inatunzika).

Mpaka waliokuwa wanziita gari za kike, sasa hivi wanazitaka, maana kwa mji kama Dar zinaokoa sana bajeti. Basi uhitaji wa gari hii ulipokuwa mkubwa , automatically bei ikapanda.
 
💪
 
Usiwe na haraka mil 12 IST no.E unapata tena iliyosimama haina kipengere!
Aachane na dhana ya namba. Mfano DZG si sawa tu na EAA?
IMG_4508.jpeg
 
Ungetafuta iyo iyo IST ya D hafu uifanyie service ata ya 500k inakua unyama kikubwa body iwe nzuri.
IMG_4509.png

Kuna Hii Honda Fit Gen 2 Mil 10 lakini Honda Hii gen bora uagize mwenyewe Jp unapata jumla kwa Mil 12-13

BTW kama swala ni namba E kuna chuma ya Mil 4 hapa
IMG_4510.jpeg

My point achana na namba. Tafuta gari nzuri.
 
Ungetafuta iyo iyo IST ya D hafu uifanyie service ata ya 500k inakua unyama kikubwa body iwe nzuri.
View attachment 3524538
Kuna Hii Honda Fit Gen 2 Mil 10 lakini Honda Hii gen bora uagize mwenyewe Jp unapata jumla kwa Mil 12-13

BTW kama swala ni namba E kuna chuma ya Mil 4 hapaView attachment 3524539
My point achana na namba. Tafuta gari nzuri.
Mkuu,

Nataka kununua Mazda Verisa used. Vp ni chuma ya uhakika?

Na bei yake inatakiwa ikae kwenye milioni ngapi hivi?
 
Back
Top Bottom