Bundewe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 400
- 141
Hii itanichekesha hadi kesho...aliyejibu ni waziri kweli?
Ni waziri kamili, sio naibu. Tena ni Dr.
Hii itanichekesha hadi kesho...aliyejibu ni waziri kweli?
Huo ndio ubunifu na si kungoja bajet ya serikali tu. Jee, wewe unaifanyia nini nchi yako? Badala ya kungoja kufanyiwa wewe!
Eti wanalaumu. Nna hakika hii ni njia nzuri tu na ni sera ya ccm ya kuhusisha wananchi na serikali katika kutimiza malengo haraka.
Nyie msiyependa kufanya na mkae mngoje kufanyiwa.
Bila shaka utakuwa na matatizo makubwa sana ya uelewa.
wananchi wamejichangisha sana tangu 1985 lakini serikali haijawekeza chochote kuhakikisha hospitali hiyo inakamilika.
kanisa katoliki waliomba wakabidhiwe majengo yale wayakamilishe na hospitali iweze kuhudumia wananchi lakini serikali ikakataa kwamba iko tayari kuikamilisha, sasa kuikamilisha kwenyewe ndio kutegemea lady jd awajazie bakuli wakati wanatoa misamaha ya mabilioni.
kweli ukiwa ccm ama mshabiki wa ccm akili yako inakuwa imbalanced.
Nakushangaa wewe uliye balanced unashindwa kuelewa kuwa hata hilo kanisa linangoja michango ya bakuli na ruzuku za serikali. Unanchekesha!
Acheni ushamba jamani, mbona hata nchi zilizoendeleazinatumia wakija Lady jay dee wao kuchangisha hela? sasa kinachowafanya mshangae ni nini?
Bajeti inapangwa kwa vipaumbele.......... hospitali sio kipaumbele.......tusubiri wanamuziki waje tuserebuke.....:dance:Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.
Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mbona hata Marekani wanawatumia wanamuziki wenye majina kufanya fund rising? Tuacheni unazi wa kijinga
sometimes naonaga bungeni woote hamna kitu kichani! WAOOTE WALIKUBALI EEEH!!
Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.
Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mmmh sioni haja ya kuhusisha msimamo wa kichama katika kujadili hoja hii. Udhaifu uliopo ni kwa waziri kuonyesha mpango uchangiaji wa wananchi kwa matamasha yanayohusisha wasanii. Wengi wetu tunahisi kwamba serikali inatakiwa ije na mikakati ya kutumia vyanzo madhubuti kupata fedha. Hivi ukishalipa hao wasanii na maandalizi kwa pesa ya viingilio na "uchakachuaji" uliopo ni kiasi gani kitabaki kununulia vitu vitakavyoifanya hospitali iwe ya rufaa? Nahisi hapa lazima tukubali "usanii" katika jibu la waziri na namna ya kisanii ya kufanikisha lengo. Kwa kifupi waziri amemtoa mbunge njiani ili lipite na kwakua wanajua Muheshimiwa mkuu wa kaya anahusudu sana mambo ya kuwashirikisha wasanii kama aliyetajwa na waziri basi kombe litafunikwa na mwanaharamu(swali) atapita. Kwa mkakati huo hakuna cha hospitali ya rufaa hapo hadi 2020Wazo zuri sana... somethin is better than nothing... Mfanyiwe nini nyie mi CDM...mkubaaliiii??? tushawazoea
Hapa hakuna mawaziri ila wala hela za wananchi. Je kama wakitumia posho zao ambazo wanazipigia debe zisiondolewe mbona kwa mwaka mmoja tu hiyo hospitali ikatakuwa imefika mbali karibia kumalizika? hawaoni kuwa kwa hilo watakuwa wamesaidia kuokoa maisha badala ya yale maneno ya hovyo ya muhishimiwa mmoja kuwa " hizi fedha zina matumizi mengi, ukitoka mlangoni unakutana na wapiga kura wako unawagawia"Akijibu hoja ya Mbunge kuhusu ni lini serikali itatoa fungu la kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Rufaa Musoma ambao ulishaanza mwaka tangu 1985 kwa kuhusisha nguvu za wananchi, Waziri wa Afya Mh. Haji Mponda alilieleza Bunge jana jioni lilipokaa kama kamati ya matumizi (bajeti ya ofisi ya waziri mkuu) kwamba Serikali ipo kwenye mchakato wa kuandaa harambee ya kuchangisha ujenzi huo itakaowahusisha watu maarufu kama Lady Jaydee na wanamuziki wengine kutoka Marekani na kwingineko.Hivi kweli tuna mawaziri????? Serikali haina vyanzo vya uhakika vya mapato mpaka kutegemea akina Jay Dee? Mbona wanashabikia misamaha ya kodi kama hali ya mapato ni mpaka wanamuziki wa marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!