Bajaji zinapatikana Temeke

Hilo la Tin namba si lako ni swala la mteja na sio kweli kwamba kila mteja anakuja hana Tin namba labda useme kwamba mteja akate Tin namba akisha kamilisha ndio anakupa fedha anaondoka na chombo
Lakini haitatokea hata siku moja nikuachie fedha yangu ukae nayo kwa siku kumi ndio nije nichukue chombo na wakati huo kwenye show room nalipa fedha na kuondoka na chombo mda huo huo
Inshallah, umesomeka, jamani huu ni utaratibu wetu tumekutana na case nyingi so kuna mda tunakua na order nyingi kuliko stock tunamueleza mteja ukweli. Mfano kuna sehemu unaagazi chipsi mhudum ndo anaenda kuandaa viazi.
 
Wameuliza bei zikoje? usikwepe mkuu,vinginevyo tutaogopa kuuliza
Chief nikiweka bei hapa si sawa jamani bei zinabadirika kila siku wakat hii thread itabaki hapa trend ya prices kwa bidhaa nyingi zinabadirika Nitext nitakupa bei hakuna hakuna shida
 
Attachments

  • TMPDOODLE1516343827086.jpg
    TMPDOODLE1516343827086.jpg
    35.7 KB · Views: 54
Hilo la Tin namba si lako ni swala la mteja na sio kweli kwamba kila mteja anakuja hana Tin namba labda useme kwamba mteja akate Tin namba akisha kamilisha ndio anakupa fedha anaondoka na chombo
Lakini haitatokea hata siku moja nikuachie fedha yangu ukae nayo kwa siku kumi ndio nije nichukue chombo na wakati huo kwenye show room nalipa fedha na kuondoka na chombo mda huo huo
Hapo Sasa Ndiyo Maana Kidogo Ukakasi Unapoonekana Kwa Mbali
Kuna Member Katilia Shaka Akasema Atalia Mtu Sasa Hivi
 
Kwa mahitaji ya bajaji (pikipiki za magurudumu matatu) zinapatikana kwetu tupo temeke hospitali na yombo buza

NB utapata bajaji yako ndani ya siku kumi za kazi baada ya malipo. tin namba muhimu kwa ajili ya usajili. mawasiliano 0652659775
Cha kufanya Asubirie siku kumi wakati Bajaj zipo hapo ni nini?
 
Kwa mahitaji ya bajaji (pikipiki za magurudumu matatu) zinapatikana kwetu tupo temeke hospitali na yombo buza

NB utapata bajaji yako ndani ya siku kumi za kazi baada ya malipo. tin namba muhimu kwa ajili ya usajili. mawasiliano 0652659775
Wewe ni dalali au mwenye mali?

Siku 10 mbona nyingi sana mkuu
 
Chief nikiweka bei hapa si sawa jamani bei zinabadirika kila siku wakat hii thread itabaki hapa trend ya prices kwa bidhaa nyingi zinabadirika Nitext nitakupa bei hakuna hakuna shida
Weka bei za leo bei zikibadilika utaedit tu uzi wako shida iko wapi jombaa.
 
Huyu jamaaa hana ofisi wala hana bajaji anataka apige udalali umpe 7000000 ndani ya wiki atakua kaisha piga deal
Ibiweni kivingine lakini sio kipumbavu pimbavu namna hii
 
Si kweli hata hivo hatupokei hela ya mteja cash malipo yote yanafanyika bank. Njoo ofisini Kwann uwaze kutapeliwa Kizembe namna hii
 
Mkuu mi ninashida ya bajaj kuliko kitu chochte this time tufanye mnipatie kwa mkopo kama inawezekana.
 
Back
Top Bottom