- Thread starter
- #21
Ha ha hakuna mtu wa kulia mkuu mawasiliano yapo hapo juu.atalia mtu sasa ivi apa!
Ha ha hakuna mtu wa kulia mkuu mawasiliano yapo hapo juu.atalia mtu sasa ivi apa!
True but tuwe positive sometime tusiivuruge hii platform. kama kuna kitu hakipo sawa tushauriane Asantena wapo watajiingiza 'unyolewa' bila chembe ya shaka. watanzania tunahitaji maombi. nimejaribu kukumbuka ngao ya pick up niliyoisoma miaka ya 2003, NO EASY TASK!
Ndani ya siku kumi inaweza kuwa hata 3 Itategemea na order tuliyo nayo ili mteja achague na rangi anayoitaka. Pia ikiwa na haraka tunafanya fasttrack.Nani wa kukuachia milioni saba zake kwa siku kumi kirahisi rahisi hivo ebooo
Correct. Lakini gari inakuja Hapa kwetu ikiwa complete (assembled) Ukiwa umechagua specification zote Pikipiki haziko hivo bila shaka unafahamu, Huwezi kupredict mteja atachagua rangi gani.Siku 10 hapana mkuu. Tunanunua gari na usajili unafanyika ndani ya masaa 3 tu unaondoka na gari yako. Hiyo tin namba ukienda tra ni kazi ya muda mfupi sana inakuwa imetoka.
Ha ha mtaji wa wa 150,000/= sio hivo tunawasiliane kama unahitaji chomboHaaaaa watakuwa n wamekezaji wabongo.wanaiga wazungu huwa wanakuja na briefcase tu.
Tangu Uanzishe Thread Yako Ukisoma Comment Za Members Huoni Wanakutilia Mashaka Sasa Wewe Umekomaa Unasema Number Ya Simu Ipo Kwenye TangazoAsante kwa ushauri Tunauza za magurudumu matatu pia za mawili aina ya TVS TU. Nimeweka mawasiliano kwa maelezo zaidi
Kwani usajili lazima mfanye nyie wenyewKweli mkuu lakini kumbuka kuna mambo ya usajili Naa vibali Hivo tunategemea isizidi siku kumi kutokana na order tulizo nazo. Lakini tuna fasttruck service ukiwa na haraka
Asante [HASHTAG]#kenedy[/HASHTAG] kuna namna Baadhi ya wa Tz wamechagua kutumia na Hii mitandao (perception) Kwa namna tofauti Hawa hata ufanye nn wao kila kitu kwao ni utapeli, Nimekuelewa I take note for thisTangu Uanzishe Thread Yako Ukisoma Comment Za Members Huoni Wanakutilia Mashaka Sasa Wewe Umekomaa Unasema Number Ya Simu Ipo Kwenye Tangazo
Jiongeze Kuna Mambo Madogo Ambayo Ukiweka Mambo Yanakwenda Vema Kabisa
Yaani Mtu Akupigie Halafu Uanzishe Ubabaishaji Unashindwa Nini Kusema Bei Kwenye Tangazo Lako Halafu Wenye Uhitaji Ndiyo Wakupigie Ili Waje Hapo Ofisini Kwako
Unafanya Biashara Kama Zama Za Kale Za Mawe
Sio lazima unaweza kufanya mwenyewe lakini kumbuka ni chombo cha moto hakitakiwi kutembea bila nyaraka.Kwani usajili lazima mfanye nyie wenyew
Gari unaenda showroom unalipia na siku hiyohiyo unaondoka na mchuma wako full registered... afu kibajaji nikisubirie kwa siku kumi?Kweli mkuu lakini kumbuka kuna mambo ya usajili Naa vibali Hivo tunategemea isizidi siku kumi kutokana na order tulizo nazo. Lakini tuna fasttruck service ukiwa na haraka
Seriously hata mi nimemshangaa. Kama gari unasajili kwa masaa mawili inakuwaje bajaji isajiliwe kwa siku kumi (tena za kazi)Siku 10 hapana mkuu. Tunanunua gari na usajili unafanyika ndani ya masaa 3 tu unaondoka na gari yako. Hiyo tin namba ukienda tra ni kazi ya muda mfupi sana inakuwa imetoka.
Kwa mahitaji ya bajaji (pikipiki za magurudumu matatu) zinapatikana kwetu tupo temeke hospitali na yombo buza
NB utapata bajaji yako ndani ya siku kumi za kazi baada ya malipo. tin namba muhimu kwa ajili ya usajili. mawasiliano 0652659775
Haa😀😀😀😛😛😛Ofisi zenu ziko Temeke Hospitali wodi namba ngapi?
Nakili tangazo linamapungufu Lakini kumbukeni mode pia wanafanya yao wanaedit Kuanzia title anyway hata Hivo anaehitaji tuwasiĺiane kwa namba tajwaHaa😀😀😀😛😛😛
Nilimwambia Tangazo Lake Aliboreshe
Gari unaenda showroom unalipia na siku hiyohiyo unaondoka na mchuma wako full registered... afu kibajaji nikisubirie kwa siku kumi?
Astaghafurulilah!
naona hujanielewa mkuu Tin namba si sababu pekee Ninacho sema ni ndani ya siku kumi najua kuna sehemu unalipa unaondoka na chombo ni utaratibu waoKweli maisha yamekaza kwa maana naona huyu bwana anaanza utapeli wa macho macho na anakomaa kweli kweli akiamini wote tuna akili ya kijinga kama yake
Ukimwambia anasema eti inachelewa kwa ajili ya Tin namba, wewe tafuta fedha kwa njia nyingine sio utapeli
Hilo la Tin namba si lako ni swala la mteja na sio kweli kwamba kila mteja anakuja hana Tin namba labda useme kwamba mteja akate Tin namba akisha kamilisha ndio anakupa fedha anaondoka na chomboNdï
naona hujanielewa mkuu Tin namba si sababu pekee Ninacho sema ni ndani ya siku kumi najua kuna sehemu unalipa unaondoka na chombo ni utaratibu wao